We dogo usipoteze muda kijanja... Niko hapa kwa wakala wa M/Tigo pesa... Muda unazidi kwenda na muda wa kupokea miamala unakaribia kuisha. Tuma fasta kabla baraka hazijapotelea stand ya Ubungo kwa ajili ya watu wa mikoani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani page ya kwanza tu nshacheka hadi machozi...si kwa comments za huyu mzee chaaaa...kwa kweli kati ya watu wanaonivunja mbavu kila nikisoma comments zao ni huyu mzee kijana....HBD mmeku!!!!!
ha ha ha...Kumbe unasubiri ushahidi!! Basi endelea kusubiri, ngoja kwanza nikampetipeti mume wangu maana mida yenyewe ndio hii.
MO11 nakuhitaji kule mume wangu kipenzi.
kuapa sio ishu...Tuliapa hata kifo hakitatutenganisha
Yani sijui deni langu utalilipa lini...Happy new older age babu
Kwa MO11 wangu yaani hayakuja ghafla, yalikuja taratiiiiibu and he is here to stay, unaesubiri yaishe chukua kiti ukae maana utachoka kusimama, ndio kwanzaaaa ngoma imeanza.ha ha ha...
michepuko inanoga hata kuliko njia kuu, sijui ni kwa nini naona ulivyodata.
Ubaya wa michepuko huja gafla na huondoka gafla. (money diminished)
Thats my honey hubby!!Tuliapa hata kifo hakitatutenganisha
we are nearby...as long as there is no verification.Kwa MO11 wangu yaani hayakuja ghafla, yalikuja taratiiiiibu and he is here to stay, unaesubiri yaishe chukua kiti ukae maana utachoka kusimama, ndio kwanzaaaa ngoma imeanza.
Utasubiri sana.kuapa sio ishu...
Ishu mnaapia wapi na kwa akili ipi... [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haha....uzee unakujia vibaya ujue!BTW: Mungu akupe maisha marefu na kila lenye heri liwe upande wako! Kesho nakupa zawadi yako na ahadi natimiza....hivi nikikubali hii proposal nakua mkeo wa ngapi?Yani sijui deni langu utalilipa lini...
Thanks for the wishes Queen Kan
Will you marry me??
Nataka kuwa Prince na baadaye kuwa King wa kwanza tokea kwenye ukoo wetu. Kwetu mtu aliyepata ujiko mkubwa so far ni kakaake mama ambaye alibarikiwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Mungu ambariki sana anko wangu, aliiinua sana familia ya babaake mama.
Ndoa za Tandale Uzuri hazikubaliki Azania Front. Nyie tunahesabu mmepata kipaimara kabla umri haujawaruhusu. Kwa lugha ya kitheolojia mnakuwa mmeibaka sakramenti. Hukumu yenu, napanda mlimani kuwaombea msamaha.Thats my honey hubby!!
Nakupenda mpaka sio vizuri yaani.
Yo the definition of love[emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173]
kiapo kingine ama?Utasubiri sana.
Hili penzi sio jipya wala sio la kando.we are nearby...as long as there is no verification.
haya mapenzi mapya na ya kando huwa hivi...
[emoji1] [emoji1]
Achana na blah blah zote kama Kiss FM. Hapo kwa blue ndo neno la uzima... Napenda kukuhakikishia anko Magu amekubali ombi lako... ataweka lami mpaka kwenye jumuiya yako... ntakuja nikiwa nateleza....Haha....uzee unakujia vibaya ujue!BTW: Mungu akupe maisha marefu na kila lenye heri liwe upande wako! Kesho nakupa zawadi yako na ahadi natimiza....hivi nikikubali hii proposal nakua mkeo wa ngapi?
Chokochoko mchokoe pweza, mie na mo11 hamtotuweza. We love each other.Ndoa za Tandale Uzuri hazikubaliki Azania Front. Nyie tunahesabu mmepata kipaimara kabla umri haujawaruhusu. Kwa lugha ya kitheolojia mnakuwa mmeibaka sakramenti. Hukumu yenu, napanda mlimani kuwaombea msamaha.
kwani umeunganishwa na nini?Hahaaaa!! Mtasubiri sanaaa, yaani hii ndoa binadamu hawezi kuitenganisha.