Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani page ya kwanza tu nshacheka hadi machozi...si kwa comments za huyu mzee chaaaa...kwa kweli kati ya watu wanaonivunja mbavu kila nikisoma comments zao ni huyu mzee kijana....HBD mmeku!!!!!
We dogo usipoteze muda kijanja... Niko hapa kwa wakala wa M/Tigo pesa... Muda unazidi kwenda na muda wa kupokea miamala unakaribia kuisha. Tuma fasta kabla baraka hazijapotelea stand ya Ubungo kwa ajili ya watu wa mikoani...

Wahi, nafasi zimebakia chache... Unaweza pia kutumia Airtel/Halotel Money au simbanking.... Usisahau kuweka hela ya kutolea...

Hakika unaanza kupata baraka wakati unapoanza kutuma...

Karibu sana njia ya mbinguni mjukuu wangu.
 
Kumbe unasubiri ushahidi!! Basi endelea kusubiri, ngoja kwanza nikampetipeti mume wangu maana mida yenyewe ndio hii.
MO11 nakuhitaji kule mume wangu kipenzi.
ha ha ha...
michepuko inanoga hata kuliko njia kuu, sijui ni kwa nini naona ulivyodata.

Ubaya wa michepuko huja gafla na huondoka gafla. (money diminished)
 
Happy new older age babu
Yani sijui deni langu utalilipa lini...
Thanks for the wishes Queen Kan

Will you marry me??

Nataka kuwa Prince na baadaye kuwa King wa kwanza tokea kwenye ukoo wetu. Kwetu mtu aliyepata ujiko mkubwa so far ni kakaake mama ambaye alibarikiwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Mungu ambariki sana anko wangu, aliiinua sana familia ya babaake mama.
 
ha ha ha...
michepuko inanoga hata kuliko njia kuu, sijui ni kwa nini naona ulivyodata.

Ubaya wa michepuko huja gafla na huondoka gafla. (money diminished)
Kwa MO11 wangu yaani hayakuja ghafla, yalikuja taratiiiiibu and he is here to stay, unaesubiri yaishe chukua kiti ukae maana utachoka kusimama, ndio kwanzaaaa ngoma imeanza.
 
Kwa MO11 wangu yaani hayakuja ghafla, yalikuja taratiiiiibu and he is here to stay, unaesubiri yaishe chukua kiti ukae maana utachoka kusimama, ndio kwanzaaaa ngoma imeanza.
we are nearby...as long as there is no verification.
haya mapenzi mapya na ya kando huwa hivi...
[emoji1] [emoji1]
 
Yani sijui deni langu utalilipa lini...
Thanks for the wishes Queen Kan

Will you marry me??

Nataka kuwa Prince na baadaye kuwa King wa kwanza tokea kwenye ukoo wetu. Kwetu mtu aliyepata ujiko mkubwa so far ni kakaake mama ambaye alibarikiwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Mungu ambariki sana anko wangu, aliiinua sana familia ya babaake mama.
Haha....uzee unakujia vibaya ujue!BTW: Mungu akupe maisha marefu na kila lenye heri liwe upande wako! Kesho nakupa zawadi yako na ahadi natimiza....hivi nikikubali hii proposal nakua mkeo wa ngapi?
 
Thats my honey hubby!!
Nakupenda mpaka sio vizuri yaani.
Yo the definition of love[emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173]
Ndoa za Tandale Uzuri hazikubaliki Azania Front. Nyie tunahesabu mmepata kipaimara kabla umri haujawaruhusu. Kwa lugha ya kitheolojia mnakuwa mmeibaka sakramenti. Hukumu yenu, napanda mlimani kuwaombea msamaha.
 
Haha....uzee unakujia vibaya ujue!BTW: Mungu akupe maisha marefu na kila lenye heri liwe upande wako! Kesho nakupa zawadi yako na ahadi natimiza....hivi nikikubali hii proposal nakua mkeo wa ngapi?
Achana na blah blah zote kama Kiss FM. Hapo kwa blue ndo neno la uzima... Napenda kukuhakikishia anko Magu amekubali ombi lako... ataweka lami mpaka kwenye jumuiya yako... ntakuja nikiwa nateleza....
 
Ndoa za Tandale Uzuri hazikubaliki Azania Front. Nyie tunahesabu mmepata kipaimara kabla umri haujawaruhusu. Kwa lugha ya kitheolojia mnakuwa mmeibaka sakramenti. Hukumu yenu, napanda mlimani kuwaombea msamaha.
Chokochoko mchokoe pweza, mie na mo11 hamtotuweza. We love each other.
 
Asa kwanini unanifuata PM unaniambia nisiendelee kukuharibia kwa MO11 ?? Basi bhana... nlikuwa natania tu... hukutoa mimba wala nini, sema tu period yako ilijichanganya badala ya kwenda kwa mwezi ikaenda kwa week kama kibarua wa kubeba zege... dah!!
Nimecheka kwa sauti
 
Back
Top Bottom