Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Hapana sina nguvu tena... hivi sasa mpaka niangalie porn ndo kiungo kinasimama... na kikisimama ukachelewa kukipa chakula chake, hakisimami tena mpaka ipite wiki mbili ndo kinastuka... tena hapo ni baada ya kusaidiwa na macho yakishuhudia jogoo akifanya uasherati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weee usiniambie
haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mna masihara kitoto cha....??

hiyo 90 mwenzenu anaamliza form six tena zamani wanaanza la kwanza na miaka 15[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....

nyie nyie looohhh!!!
muacheni babi wangu tafadhali
Kizee wapi!! Kitoto cha 90 hicho, labda ateke boom la chuo tu.
Asprin shikamoo, ukimuona Kaizer mwambie hali yangu sio nzuri kwakweli.
 
haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mna masihara kitoto cha....??

hiyo 90 mwenzenu anaamliza form six tena zamani wanaanza la kwanza na miaka 15[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....

nyie nyie looohhh!!!
muacheni babi wangu tafadhali
Waambie honey, wananichokoza hao.
 
Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...

Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na kukupigania dhidi ya yule mwovu. Washukuriwe wazazi/walezi walio jitoa kwako bila kusahau marafiki waliokujenga kwa changamoto mbalimbali

Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.

Happy Birthday to you Asprin

Ila uache ubazazi sasa ushazeeka we kizee
Namm birthday yangu tangoja ujumbe toka kwako..na ole wako usinitumie ntakunkuruzinza mpaka ukome!
 
Back
Top Bottom