Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
We na dada yako mmenifanyia kampeni mkaniacha. Nimebaki mpweke.Hahaha yaaani wewe babu Asprin sio wa kuhama mamsera aki...
Kaizer atauweza sasaaa?!! Usitufanyie ivoo
Nimwachie Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We na dada yako mmenifanyia kampeni mkaniacha. Nimebaki mpweke.Hahaha yaaani wewe babu Asprin sio wa kuhama mamsera aki...
Kaizer atauweza sasaaa?!! Usitufanyie ivoo
Hahahahaha
HapanaWe na dada yako mmenifanyia kampeni mkaniacha. Nimebaki mpweke.
Nimwachie Mungu?
Hebu muulize basi. Afu akikujibu uje uniambie hapa Mamsera. Leo sijavaa boksa kabisaHapana
Usituachie Mungu! Hivi kakuacha maukweli ama?!
Ngoja kwanza nilipe bill ya Jeni hapa kwa mwarabu, Mamsera.
Msalimie JaneNgoja kwanza nilipe bill ya Jeni hapa kwa mwarabu, Mamsera.
[emoji847][emoji847][emoji847]babe
Siitwi babu kimakosa ... chumvi imeliwasana hapa...Happy belated birthday Babu Asprin, Mungu na azidi kukupa umri mrefu. Hivi ni kweli uko 70's??
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaa....Babu nawe ulitaka apite tu[emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ahsante sana. Kuongeza umri ndio kulisogelea kaburi lakini...
Tayari...Msalimie Jane
Happy belated birthday Babu Asprin, Mungu na azidi kukupa umri mrefu. Hivi ni kweli uko 70's??
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu shkamoo, natumai u mzima wa afya. Uwe na asubuhi njema.Khaaaaa....
[emoji3] [emoji3] , nilikua nashangaa huyu Babu mjanja anaijua mpk Jf, babu yangu kijijini huko anajua kulima tu jf aijulie wapi. [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]hana ht 35 huyu@aspirin