Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Hahaha yaaani wewe babu Asprin sio wa kuhama mamsera aki...

Kaizer atauweza sasaaa?!! Usitufanyie ivoo
We na dada yako mmenifanyia kampeni mkaniacha. Nimebaki mpweke.

Nimwachie Mungu?
 
Hebu muulize basi. Afu akikujibu uje uniambie hapa Mamsera. Leo sijavaa boksa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dadangu Sky Eclat kwa taarifa.....
 
Sala hii na iwe na kwako pia....

Kwahiyo mjukuu wangu ledada kashakuwa pumziko lako???

Usisahau kunizawadia K Vant

Babu nawe ulitaka apite tu[emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Back
Top Bottom