Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
[emoji3] [emoji3] , nilikua nashangaa huyu Babu mjanja anaijua mpk Jf, babu yangu kijijini huko anajua kulima tu jf aijulie wapi. [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, nimeambiwa hiyo chumvi hata hujaila sanaa, uko vzuri kama ni kweliSiitwi babu kimakosa ... chumvi imeliwasana hapa...
Hapo sasa hapana wewe kabinti ka juzi hapa umzidi Babu[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]hana lolote hata mm nimemzidi mbali sana sana umri
Ahsante sana mpenzi wangu...Happy belated birthday babu kijana.
Zawadi yako ya birthday ni ukaguzi, nakuona wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi babu wa mjini. Nimesoma Makerere na Nyerere[emoji3] [emoji3] , nilikua nashangaa huyu Babu mjanja anaijua mpk Jf, babu yangu kijijini huko anajua kulima tu jf aijulie wapi. [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mpenzi wangu wa kudumu moyoni. Mbinguni na duniani.Babu shkamoo, natumai u mzima wa afya. Uwe na asubuhi njema.
Ahsante sana mpenzi wangu...
Utakuja Bunju au nije Goba tufumaniwe?
Umekumbuka kumeza vidonge vyako leo? Naona kama kinaanza kulipuka tenaπππhana ht 35 huyu@aspirin
Ewaaa nakutumia lokeshen WhatsApp mara moja
Usikubali kudanganywa na hako ka manengelo... hakajui bibi yake alikuwa girlfriend wangu enzi tunadai UhuruHahaaa, nimeambiwa hiyo chumvi hata hujaila sanaa, uko vzuri kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Haika mae...
[emoji23] [emoji23] kwenu ndo shimbi, mkuu au mashati?Haika mae...
Tubarikiwe sote BabuAsante sana mpenzi wangu wa kudumu moyoni. Mbinguni na duniani.
Barikiwa sana mjukuu mtiifu
Khaaa!!! Kyalema!
Ewaaa nakutumia lokeshen WhatsApp mara moja
Hakikisha unakuja without kabisa ili tusipoteze muda
kajukuu kako kamesema wewe ni babu kijana eti uko na 20s hivi tena earlyππUsikubali kudanganywa na hako ka manengelo... hakajui bibi yake alikuwa girlfriend wangu enzi tunadai Uhuru
nimekuelewa Babu kijana,ila sikuamini sana kama kweli we ni babuπMi babu wa mjini. Nimesoma Makerere na Nyerere