Happy birthday Asprin

Utadedi wewe wallah... sina mpango wa kudedi January mpaka December.
 
Happy birthday babu, hiyo keki wamekuonea tu najua wewe huko ni mwendo wa maboga tu mnagawana na ngedere, Mungu akuongezee miaka mingine mpaka ushindwe kutafuna nyama, hongera bibi kwakumtunza babu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulweso my dear....

Ahsante Sana...

Nami naomba sala yako Mungu aisikie na akutendee vile vile kama ulivyoniombea...(najua hupendi kushindwa kutafuna nyama, ila utafanyaje sasa wakati sala ishasikilizwa??)

Mungu yu mwema daima.... Barikiwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…