Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Utadedi wewe wallah... sina mpango wa kudedi January mpaka December.Nilifikiri haka Kazee 'kamekufa'!Nilishajiandaa kuweka kikao hapo Kimara, tunachanga fedha ya pombe. Tukifika Moshi tunatulia hapo Mekuz tunagonga maji mpaka kunakucha.
Haafu tunakawahisha Mamsela kukazika...kumbuka hapo bado tunagonga mbege na nyama choma
Tukirudi Dar tunagawana videmu vyake halafu kila Mtu anasepa alipotokea!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Shubaamit