Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Sala hii na iwe na kwako pia....

Kwahiyo mjukuu wangu ledada kashakuwa pumziko lako???

Usisahau kunizawadia K Vant
Asante babu. Sindio ulinichagulia mjukuu wako kuwa anaendana na mimi kijana wako. Basi kwa kuwa uzee unakuja na heshima na busara tukaona tusikupinge mzee wetu.

Hiyo K Vant tutaileta mimi na yeye babu wala usiwe na wasiwasi, ila inabidi uache maukali babu uanze kunywa gahawa kama wazee wenzio.
 
Nilifikiri haka Kazee 'kamekufa'!Nilishajiandaa kuweka kikao hapo Kimara, tunachanga fedha ya pombe. Tukifika Moshi tunatulia hapo Mekuz tunagonga maji mpaka kunakucha.

Haafu tunakawahisha Mamsela kukazika...kumbuka hapo bado tunagonga mbege na nyama choma

Tukirudi Dar tunagawana videmu vyake halafu kila Mtu anasepa alipotokea!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Shubaamit
 
Asante babu. Sindio ulinichagulia mjukuu wako kuwa anaendana na mimi kijana wako. Basi kwa kuwa uzee unakuja na heshima na busara tukaona tusikupinge mzee wetu.

Hiyo K Vant tutaileta mimi na yeye babu wala usiwe na wasiwasi, ila inabidi uache maukali babu uanze kunywa gahawa kama wazee wenzio.
Hahahha haya magahawa yanaleta presha. Acha ujanja wa kukwepa kumnunulia babu K Vant

Utapata laana, na ntakunyang'anya mjukuu
 
Asante babu. Sindio ulinichagulia mjukuu wako kuwa anaendana na mimi kijana wako. Basi kwa kuwa uzee unakuja na heshima na busara tukaona tusikupinge mzee wetu.

Hiyo K Vant tutaileta mimi na yeye babu wala usiwe na wasiwasi, ila inabidi uache maukali babu uanze kunywa gahawa kama wazee wenzio.
Mbona hujanitambulisha wifi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom