Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Hahaha hahaha
Hebu nieleweshe vizuri kwanza

Moja ya posts zake hiyo hapo chini:-

View attachment 881562
Habari zenu wakuuu
Mimi ni bilionea kutoka Bunju.

Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza

Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za vocha za buku kumikumi,pia nafikiria kufunga Wi Fi Tanzania nzima

Kwa wale wanaohitaji pesa ya matibabuau biashara pia wanione nawapapatia kiasi chochote kisichozidi bilioni 1

Kwa wale wanaohitaji ajira sijawasahau maana hekalu langu hapa Bunju wanahitajika mashambaboi,mahausigeli,wapishi na vijana wa kulisha mbwa wangu wa Kijerumani

Jwa wake wanaoshindia mlo mmoja nawakaribisha kwenye hekalu langu kila siku natandika jamvi nje na kulisha watu

Kwa wale waliozaa na kutelekeza watoto wawalete kwangu Bunju niwalishe,kunywa na kunya bure kabisa yaani niishi nao na kuwasomesha hadi chuo kikuu

Kwa wale wanaoishi maeneo yenye shida ya usafiri nao sijawaasha nimeshaleta bandarini helikopta 100 kwa ajili ya kuwaoeleka makazini na kuwarudisha.. ....masharti ya huu usafiri ni kwamba mteja atatakiwa kuwa na sarafu ya shilingi 1 mfukoni ndio nauli yaani hatupokei hela yoyote isipokuwa shilingi 1.....ukitulipa pesa za aina nyingine mfano 5/=,10/=,20/=,50/=,100/=,200/=,500/=,1000/=,2000/=,5000/= na 10000/= hatuzipokei wala kukupa hudumaView attachment 881588
 
Back
Top Bottom