Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Lazima uwemo we ndio kiunganishiHahaha hahaha
Mie simoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uwemo we ndio kiunganishiHahaha hahaha
Mie simoo
Vipi mpendwa wangu jamaniKhaaaa
Naona mnataka kuniuza sasa na mchepuko wako bila mm kujua
Hatukuuzi. We mwenyewe utatushukuru....Naona mnataka kuniuza sasa na mchepuko wako bila mm kujua
Aaamen " ubarikiwe ... hahah lakini miaka 100 mimi siihitaji aiseHallelujah... ombi lako na liwe pia na kwako.
Hata mimi wallah... basi rudi ukapunguze nguvu ya sala yako... kheeee!Aaamen " ubarikiwe ... hahah lakini miaka 100 mimi siihitaji aise
Hahaha hahaha hahaha
Hahaha hahahaSijamsikia Mikwara Ya Andunje muda mrefu, huyu alijipatia umaarufu kwa kuwa bilionea mwenye kumiliki hekalu huko Bunju.
Babu kampoteza au?
Ujue weweeeLazima uwemo we ndio kiunganishi
Mama muinjili hujambo lakiniVipi mpendwa wangu jamani
Hahaha hahaha
Hebu nieleweshe vizuri kwanza
Babu @Aspirin hebu ukuje huku utoe maelezo!Huyu bwana Mikwara Ya Andunje alitishia ufalme wa Babu Asprin huko Bunju, maana alikuwa anaalika watu kula na kunywa mwenye hekalu lake huko Bunju, sasa ghafla kapotea. Nahisi aliingia anga za babu.
Hahaha hahaha
Hebu nieleweshe vizuri kwanza
View attachment 881562
Habari zenu wakuuu
Mimi ni bilionea kutoka Bunju.
Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza
Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za vocha za buku kumikumi,pia nafikiria kufunga Wi Fi Tanzania nzima
Kwa wale wanaohitaji pesa ya matibabuau biashara pia wanione nawapapatia kiasi chochote kisichozidi bilioni 1
Kwa wale wanaohitaji ajira sijawasahau maana hekalu langu hapa Bunju wanahitajika mashambaboi,mahausigeli,wapishi na vijana wa kulisha mbwa wangu wa Kijerumani
Jwa wake wanaoshindia mlo mmoja nawakaribisha kwenye hekalu langu kila siku natandika jamvi nje na kulisha watu
Kwa wale waliozaa na kutelekeza watoto wawalete kwangu Bunju niwalishe,kunywa na kunya bure kabisa yaani niishi nao na kuwasomesha hadi chuo kikuu
Kwa wale wanaoishi maeneo yenye shida ya usafiri nao sijawaasha nimeshaleta bandarini helikopta 100 kwa ajili ya kuwaoeleka makazini na kuwarudisha.. ....masharti ya huu usafiri ni kwamba mteja atatakiwa kuwa na sarafu ya shilingi 1 mfukoni ndio nauli yaani hatupokei hela yoyote isipokuwa shilingi 1.....ukitulipa pesa za aina nyingine mfano 5/=,10/=,20/=,50/=,100/=,200/=,500/=,1000/=,2000/=,5000/= na 10000/= hatuzipokei wala kukupa hudumaView attachment 881588
Ile nimekuonesha siku ile ilikuwa ghorofa? Au hukuangalia vizuri kwa kumwogopa Kachuro??Babu @Aspirin hebu ukuje huku utoe maelezo!
Huyo bwana simfahamu, bunju namjua babu Asprin pekee
DuuuhhhMoja ya posts zake hiyo hapo chini:-
Tazama nami ni mzee...Tena nimemsogezea nyama za kutosha
Siku hizi tunapenda wazee manake wanajua kubembeleza afu hawasumbui