Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

I know it my Kaizer
Hii bethdei imeniletea matatizo makubwa sana. Na imedhihirisha msemo wa Bwana mkubwa Jesus.... nabii hakubaliki kwao.

Kaizer katokezea hapa si mke Sky Eclat wala mchepuko wa milele Sakayo ananikubali tena. Nahama rasmi Mamsera.

Nacheki na Polepole nihamie rasmi Mtwara.

Bora nikahakiki korosho tu, hamna namna tena
 
Nimeshafile divorce paper, na vilivyo nyumbani ninakuachia, tukigawana kumbu kumbu yako haitakwisha. Safari njema ya Mamsera.
 
Hii bethdei imeniletea matatizo makubwa sana. Na imedhihirisha msemo wa Bwana mkubwa Jesus.... nabii hakubaliki kwao.

Kaizer katokezea hapa si mke Sky Eclat wala mchepuko wa milele Sakayo ananikubali tena. Nahama rasmi Mamsera.

Nacheki na Polepole nihamie rasmi Mtwara.

Bora nikahakiki korosho tu, hamna namna tena
Hahaha yaaani wewe babu Asprin sio wa kuhama mamsera aki...

Kaizer atauweza sasaaa?!! Usitufanyie ivoo
 
Back
Top Bottom