Happy birthday atoto!

Happy birthday to you sista atoto napenda sana dadaangu, sema nimechelewa birthday yako coz nilikuwa bado nafunga mahesabu ya kampuni ya mwisho wa mwaka, teh!
 
Kwakweli hicho kipengele itabidi ujitahidi mnooo, maana uncle mito hachelewi kuchamba familia nzima.
Hahaaa siku hizi wala sichambi tena sista, walengwa wangu wote wananukia full time 24/7. Hadi Heaven Sent kaongeza pea za viatu mchezo, na hata yule mama wa Man U everlenk juzi alienda kuongeza manukato, chezea mwanamke kunukia weyeeee
 
Happy birthday to you sista atoto napenda sana dadaangu, sema nimechelewa birthday yako coz nilikuwa bado nafunga mahesabu ya kampuni ya mwisho wa mwaka, teh!

Nashukuru sana my lovely kaka, hahahaaaaa! Hebu uibepo hapo kidogo ulete nikanunue wigi.
 
Hahaaa siku hizi wala sichambi tena sista, walengwa wangu wote wananukia full time 24/7. Hadi Heaven Sent kaongeza pea za viatu mchezo, na hata yule mama wa Man U everlenk juzi alienda kuongeza manukato, chezea mwanamke kunukia weyeeee

Alafu ile perfume imeisha nataka nyingine, nilikuwa najimwagia sio kujipulizia, yaani nilikuwa nanukia zaidi ya yule aloomba lifti kwa gari la Nyani Ngabu
 
Usijali nitakurusha halotel money sista, ila za kuritachia nywele tu, si unajua wanaume tusivyopenda hayo mawigi yenu

Tatizo upara hauretachiwi kaka, alafu siwavalii wanaume najivalia mwenyewe, usijali mtafumba macho, teh teh teeeeh!
 
Alafu ile perfume imeisha nataka nyingine, nilikuwa najimwagia sio kujipulizia, yaani nilikuwa nanukia zaidi ya yule aloomba lifti kwa gari la Nyani Ngabu
Mmh ila kweli mnajimwagiaga bana loooh!!, wifi yako anatumia chupa 3 kwa mwezi wakati mi moja hiyo hiyo kwa miezi 3, mmh mtaua bendi sista khaaa!

Yes yes Nyani Ngabu akuleteee kitu toka majuuu, classic and unique
 
Tatizo upara hauretachiwi kaka, alafu siwavalii wanaume najivalia mwenyewe, usijali mtafumba macho, teh teh teeeeh!
Hahaaaa nyie ndo mapambo yetu bana, mnatupambia dunia, lazima tufauduu kwa macho hata kama ni sistaangu teh teh!!
 
Mmh ila kweli mnajimwagiaga bana loooh!!, wifi yako anatumia chupa 3 kwa mwezi wakati mi moja hiyo hiyo kwa miezi 3, mmh mtaua bendi sista khaaa!

Yes yes Nyani Ngabu akuleteee kitu toka majuuu, classic and unique

Kitu cha digirii hapana chezea kabisa!
Sasa my kaka ndio maana yeye ni mwanamke nawe mwanaume, we nunua tu baba maana hamna namna, si unajua ile unajipulizia tatu tofauti kwa wakati mmoja, kwahiyo lazima tutumie nyingi kuliko nyie.
Hahaaaa nyie ndo mapambo yetu bana, mnatupambia dunia, lazima tufauduu kwa macho hata kama ni sistaangu teh teh!!

Tunawapambia dunia na pair zetu moja ya viatu, teh teh!
 
Mmh na hayo matege yako utanipindishia viatu yangu

Bahati nzuri matege yapo ukooni, tege lako lishapindisha viatu zamanii nilivijaribisha jana vinapwaya ati! Nitavaa hivyo hivyo hata kwa kusondeka vitambaa!
 
Hahaha mwehu wewe, weka tu matambara afu ghafla kikuvuke mbele za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…