Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa umenikumba maneno ya daddy wako, khaaa!!Hahaha na atakuwa tu natural kwa kweli asije akatuletea Mawigi yasiyofata direction ya kichwa. Hatutaki vichambo vya mzee
Hahaha daah umenikumbusha ule uziHappy birthday to you sista atoto napenda sana dadaangu, sema nimechelewa birthday yako coz nilikuwa bado nafunga mahesabu ya kampuni ya mwisho wa mwaka, teh!
Weee mbona daddy ninaye jamaniHahaaa umenikumba maneno ya daddy wako, khaaa!!
Hahaaa siku hizi wala sichambi tena sista, walengwa wangu wote wananukia full time 24/7. Hadi Heaven Sent kaongeza pea za viatu mchezo, na hata yule mama wa Man U everlenk juzi alienda kuongeza manukato, chezea mwanamke kunukia weyeeeeKwakweli hicho kipengele itabidi ujitahidi mnooo, maana uncle mito hachelewi kuchamba familia nzima.
Hahaaa siku hizi wala sichambi tena sista, walengwa wangu wote wananukia full time 24/7. Hadi Heaven Sent kaongeza pea za viatu mchezo, na hata yule mama wa Man U everlenk juzi alienda kuongeza manukato, chezea mwanamke kunukia weyeeee
Usijali nitakurusha halotel money sista, ila za kuritachia nywele tu, si unajua wanaume tusivyopenda hayo mawigi yenuNashukuru sana my lovely kaka, hahahaaaaa! Hebu uibepo hapo kidogo ulete nikanunue wigi.
Usijali nitakurusha halotel money sista, ila za kuritachia nywele tu, si unajua wanaume tusivyopenda hayo mawigi yenu
Mmh ila kweli mnajimwagiaga bana loooh!!, wifi yako anatumia chupa 3 kwa mwezi wakati mi moja hiyo hiyo kwa miezi 3, mmh mtaua bendi sista khaaa!Alafu ile perfume imeisha nataka nyingine, nilikuwa najimwagia sio kujipulizia, yaani nilikuwa nanukia zaidi ya yule aloomba lifti kwa gari la Nyani Ngabu
Hahaaaa nyie ndo mapambo yetu bana, mnatupambia dunia, lazima tufauduu kwa macho hata kama ni sistaangu teh teh!!Tatizo upara hauretachiwi kaka, alafu siwavalii wanaume najivalia mwenyewe, usijali mtafumba macho, teh teh teeeeh!
Ngoja siku aibuke tukome tena, teh!Hahaha daah umenikumbusha ule uzi
Mmh ila kweli mnajimwagiaga bana loooh!!, wifi yako anatumia chupa 3 kwa mwezi wakati mi moja hiyo hiyo kwa miezi 3, mmh mtaua bendi sista khaaa!
Yes yes Nyani Ngabu akuleteee kitu toka majuuu, classic and unique
Hahaaaa nyie ndo mapambo yetu bana, mnatupambia dunia, lazima tufauduu kwa macho hata kama ni sistaangu teh teh!!
Hahaha me napenda tu anavyojiamini. Mtaongea huku weee yeye hana habariNgoja siku aibuke tukome tena, teh!
Hahaha sasa hivi nina pair 3Hahaaa siku hizi wala sichambi tena sista, walengwa wangu wote wananukia full time 24/7. Hadi Heaven Sent kaongeza pea za viatu mchezo, na hata yule mama wa Man U everlenk juzi alienda kuongeza manukato, chezea mwanamke kunukia weyeeee
Hahaha sasa hivi nina pair 3
Mmh na hayo matege yako utanipindishia viatu yanguAkuuu sina shida nitakuja kugongea hivyo hivyo!
Mmh na hayo matege yako utanipindishia viatu yangu
Hahaha mwehu wewe, weka tu matambara afu ghafla kikuvuke mbele za watuBahati nzuri matege yapo ukooni, tege lako lishapindisha viatu zamanii nilivijaribisha jana vinapwaya ati! Nitavaa hivyo hivyo hata kwa kusondeka vitambaa!
Hahaha mwehu wewe, weka tu matambara afu ghafla kikuvuke mbele za watu