Hana shida dada yako.Uoga wako ndio utakuchelewesha kupata mume
haah we H.F ni lini umekuwa msemaji wangu? mambo ya kumfundisha dogo angu ujambazi sipendi hivyooo!!!
Mie mzima habibit, uhali gani?
yaani mpenzi huna wivu na mimi?? naona unacheka tu badala ya kupigana. 😡😡
Hahaha hata mm.sijaliona atoto
ni nzuri me nipo sana tu huwa napitapita sema hatuonani....
mmmhhhh huu wivu wa kulazimisha unatoka wapi sasa? wivu kwa lipi? hepu pata novida utulie, itakuwa njaa hiyo
Heri ya kuzaliwa atoto nakutakia maisha marefu yenye furaha na amani
Waooh kaka yangu huyo.Nimekumiss sana