huu udhalilishaji sasa, mtu mzima ninywe Novida. na watoto je? kama una NO. 1 itakuwa poa
Ata mimi dada.............miss sn wewe.....!
Wifi yako kanificha hataki nitoke nikatembee anataka nikae ndani tu awe ananihudumia
Miss wewe dada yangu.......1
hahaaa! thanks alot Mtoto halali na hela si unajua tena Viol ni pacha wangu wa nje
baby Kaizer ........
haya bhana
afadhali now nina amani Honey Faith, mmh hii id yako tamuu walaa haina haja ya kuongeza vivumishi
Tena aje hapa haraka sana niwaseme kidogo
yaani mpenzi huna wivu na mimi?? naona unacheka tu badala ya kupigana. 😡😡
mmmhhhh huu wivu wa kulazimisha unatoka wapi sasa? wivu kwa lipi? hepu pata novida utulie, itakuwa njaa hiyo