Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

Wakuu wote wa Chit chat na MMU naomba muungane nami kunuwish shemeji yangu kipenzi atoto kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa.
atoto Mimi na dada yako DEMBA tunakutakia matashi mema katika siku hii, ukue katika maadili mema.

Tunakupenda sana.

Karibuni wote kwa mazawadi na makeki.
charminglady everlenk Ennie Baba V ladyfurahia lara 1 Asprin BADILI TABIA Mtambuzi sister miss neddy atug masai dada Mr Rocky Ntuzu Tized mwallu snowhite Madame B Kongosho Mtoto halali na hela utafiti Tyta MO11 Honey Faith Nazjaz

Na wengineo wote karibuni sana.

Happy born day atoto.
upate umri mrefu.

Asante mwanafunzi wangu Kaizer.
Pamoko
 
Kwa niaba ya familia ya Mr & mrs Kaboom na kaka yangu wa pekee mito. .............Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya mtu huyu atoto

Ijapokuwa amekuwa ni mtu mwenye gubu, mvivu, mzurulaji, mchepukaji na mbabe kama mnyakyusa. Bado tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyotenda juu yake hadi leo anatimiza miaka 45.

Kusema kweli kati ya mamaz wote alioniletea daddy angu, atoto ni pasua kichwa Sijapata kuona . Ameshindikana dunia nzima, lakini ndo mama angu ntafanyaje sasa. Mwaka huu angalau uwe mpole kidogo kama mimi teh

We wish you all the very best darlin. Mungu akubariki uingiapo na utokapo. .akabariki kazi za mikono na mdomo wako...akakupe kibali mbele zake na mbele za mataifa. .. mahali miguu yako itakapokanyaga, Mungu akapabariki na kupafanya kuwa ni ardhi yako...ukafanyike kuwa baraka na kwa wengine.. Ukawe na afya njema na amani ya moyo. Na neema ya Mungu ikawe nawe daima, isikupungukie kamwe.

Mimi na sumbai tumekuandalia hiki kitu kidogo wa kunyumba. Have a blast sweetheart uploadfromtaptalk1452548615849.png
 
Kwa niaba ya familia ya Mr & mrs Kaboom na kaka yangu wa pekee mito. .............Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya mtu huyu atoto

Ijapokuwa amekuwa ni mtu mwenye gubu, mvivu, mzurulaji, mchepukaji na mbabe kama mnyakyusa. Bado tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyotenda juu yake hadi leo anatimiza miaka 45.

Kusema kweli kati ya mamaz wote alioniletea daddy angu, atoto ni pasua kichwa Sijapata kuona . Ameshindikana dunia nzima, lakini ndo mama angu ntafanyaje sasa. Mwaka huu angalau uwe mpole kidogo kama mimi teh

We wish you all the very best darlin. Mungu akubariki uingiapo na utokapo. .akabariki kazi za mikono na mdomo wako...akakupe kibali mbele zake na mbele za mataifa. .. mahali miguu yako itakapokanyaga, Mungu akapabariki na kupafanya kuwa ni ardhi yako...ukafanyike kuwa baraka na kwa wengine.. Ukawe na afya njema na amani ya moyo. Na neema ya Mungu ikawe nawe daima, isikupungukie kamwe.

Mimi na sumbai tumekuandalia hiki kitu kidogo wa kunyumba. Have a blast sweetheartView attachment 316281

Nashukuru sana kipenzi, mwaaaaaah!!
Ila pale mwanzoni macho hataaa hayajasoma sijui nina tatizo la macho, yaani macho yameanza kusoma aya ya tatu tu.
Mwambie sumbai nataka viwalo ila marufuku kunidai pesa.
 
Hahaha macho hayajaona ila moyo umehisi.

mbona hujasema Ahsante kwa zawadi?
 
Mupenz..Najua wajua kuwa i always wish u the best...Siku ya leo kwangu is just like another day..Najua ww kuwa nami kila siku ni happy day..
Nwei ngoja na mm nisemapo kidogo
My dear..Always umekuwa mke bora kwangu(sidhani kama leo ni gud day kuzungumzia michepuko yako),a true friend, a wonderful guide na mengine mengi(sitaki kutaja utavimba kichwa)..Japo we ni pasua kichwa ila nakupenda hivyohivyo my loving mother wa watt wangu...
i wish to spend more years with u ......nakutakia maisha mrefu yenye afya tele na mafanikio...Fahamu kuwa...Baba kijacho anakupenda sana
 
Back
Top Bottom