warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Umesahau tu Mkuu... zamani Lulu Michael (huyu Lulu Mathias hata nikikutana nae njiana, wala simjui) alikuwa akitangaza kipindi cha watoto ITV tena kwa muda mrefu tu. Kapiga piga mzigo pale, baadae kibarua kikaota majani! Kama ujuavyo wana-Dar es salaam, wakaanza oh, Lulu katimuliwa ITV kutokana na tabia zake chafu! Sasa katika kujitetea ndo akasema hajatimuliwa bali umri wake ulishakuwa mkubwa kuendesha kipindi cha watoto... kwahiyo akajiongezea miaka ili kuhalalisha madai yake... ulipomuibukia mtiti wa Kanumba, akaukana tena umri ambao aliutangaza zamani...
Lulu alidanganya umri kwa kuwa akina mama mwantumu wa tandale na akina abdala msogoti wa mbagala walizidi kumnyoshea vidole kuwa mtoto mdogo ata miaka 18 bado ila anafanya mambo ya kikubwa, nadhani hii ilimuaribu kisaikolojia so akaamua kudanganya umri ili ionekane mambo yake na umri wake vinaendana, ila lulu aliaza kuchakazwa kitambo sana, nahisi wakat akiwa 12 alikuwa kashachakachuliwa



