Huku ni kwa wambea ndugu..itakuwa we umepotea jukwaa. Au we ndo waziri wa utaliii....?
Humu hata wewe ukiwa maarufu tunakusasambua nje ndani...
Nitolee umbea wako apa, kama umeona nimekuboa we ungepita zako tu, ukitaka kusoma maneno mazuri nenda kasome BIBLIA , humu ni full udaku
Jasho dawa yake ni kulipiga madeodorant na ma D'or bila kusahau ma GivenchyMtoto mtamu, ila sema nasikia ananukaga jasho hatar, yan ana jasho baya uyo unaweza mkimbia, kwapa linatema
Mtoto mtamu, ila sema nasikia ananukaga jasho hatar, yan ana jasho baya uyo unaweza mkimbia, kwapa linatema
Forever21...Forever young..!!
Hii habari ni nzito na nitaifuatilia . Hivi ndiyo huwa natoa hapa habari nyingi lakini Mtu wa Pwani huwa anaona ni udaku. Asante sana kwa hili tutalifuatilia .Niko Mwanza nangoja ndege ya kwenda Dar nitajua mengi huko.
Jasho dawa yake ni kulipiga madeodorant na ma D'or bila kusahau ma Givenchy
Hahahahah nyieeeee hamfai hata robo...mie leo nacheka tu...nimeona kule watu wanaomba mafile ya waume zao...hahah wadada wabongo bana hatareee...ngoja niwe msomaji tu leo
Jasho dawa yake ni kulipiga madeodorant na ma D'or bila kusahau ma Givenchy
Katoa hereni..........Aisee huu Uzi umenichekesha sana! Hivi Wema katoa zawadi gani!
Katimiza 27...nimemsikia Zamaradi...
Umesahau tu Mkuu... zamani Lulu Michael (huyu Lulu Mathias hata nikikutana nae njiana, wala simjui) alikuwa akitangaza kipindi cha watoto ITV tena kwa muda mrefu tu. Kapiga piga mzigo pale, baadae kibarua kikaota majani! Kama ujuavyo wana-Dar es salaam, wakaanza oh, Lulu katimuliwa ITV kutokana na tabia zake chafu! Sasa katika kujitetea ndo akasema hajatimuliwa bali umri wake ulishakuwa mkubwa kuendesha kipindi cha watoto... kwahiyo akajiongezea miaka ili kuhalalisha madai yake... ulipomuibukia mtiti wa Kanumba, akaukana tena umri ambao aliutangaza zamani...

Duh, geniveros, umezidi kumrundikia miaka... sijui kama una kumbukumbu wakati ule anashiriki Miss Tanzania 2006... kalikuwa kasichana kadogo tu, wala hailekei kama angalau alikaribia hiyo 24 (from 1982) sema baada ya kuingia bongo movie akachakazwa hadi kukomazwa hadi leo hii anaonekana 30 something kama shoga ake Wema! Nakumbuka ile 2006 wakati Wema anashiriki, watu walikuwa na mashaka kama kweli alishatimiza hata hiyo 18, lakini hebu mcheki sasa!!aunt hana haya eti jitu kubwa lile mi km sikosei nshasomaga interview yake kitambo kidogi ni wa 82 yule jamani wakiwa waongo wasiwe wasahaulifu