Happy Birthday Aunty Ezekiel

Happy Birthday Aunty Ezekiel

Huku ni kwa wambea ndugu..itakuwa we umepotea jukwaa. Au we ndo waziri wa utaliii....?

Humu hata wewe ukiwa maarufu tunakusasambua nje ndani...

Nitolee umbea wako apa, kama umeona nimekuboa we ungepita zako tu, ukitaka kusoma maneno mazuri nenda kasome BIBLIA , humu ni full udaku

Hahahahah nyieeeee hamfai hata robo...mie leo nacheka tu...nimeona kule watu wanaomba mafile ya waume zao...hahah wadada wabongo bana hatareee...ngoja niwe msomaji tu leo
 
watu mna maneeeeno!
warumi haya majibu unatoaga wapi?

Ahaahh ahah, yanakujaga tu binamu, halafu si unajua mtoto wa tandale,buguruni,manzese,yombo yani sehemu zote za uswazi nimeishi, so kwetu ni kawaida tu
 
Last edited by a moderator:
Hii habari ni nzito na nitaifuatilia . Hivi ndiyo huwa natoa hapa habari nyingi lakini Mtu wa Pwani huwa anaona ni udaku. Asante sana kwa hili tutalifuatilia .Niko Mwanza nangoja ndege ya kwenda Dar nitajua mengi huko.

Ndo maana kila siku wanakufa VIFO vya ajabu na vya aibu, wengine wanapata ajali wanakatika mpaka kichwa kwa ajili ya ushirikina
 
Jasho dawa yake ni kulipiga madeodorant na ma D'or bila kusahau ma Givenchy

Kama ni kweli ana tatizo lingine tu la kiafya. Hivyo vitu vipo ndani ya uwezo wake. Kama ni tatizo la kiafya, akitumia vitu hivyo inaweza kuwa mbaya zaidi! Anze na limau kama deodorant for a few weeks. Asubuhi before eating anything atumie fresh juice ya apple na carrot then breakfast ifuate after at least saa moja.
 
Hahahahah nyieeeee hamfai hata robo...mie leo nacheka tu...nimeona kule watu wanaomba mafile ya waume zao...hahah wadada wabongo bana hatareee...ngoja niwe msomaji tu leo

Anatuvuruga watu tumeshajikoki na mode ya umbea halafu anatuletea upuuzi wake apa mfyuu, tena ana bahati
 
Jasho dawa yake ni kulipiga madeodorant na ma D'or bila kusahau ma Givenchy

Wengine inakuwa natural, ndo maana unakuta mwingine ata apige MSWAKI mara nne kwa siku ila domo linanuka tena akipiga mswaki ndo kama anaongeza harufu, wengine unakuta smart na anaoga three times per day, ila mwili unanuka kama maiti, yan watu wana matatizo sugu binamu sijui ni nini
 
Aisee huu Uzi umenichekesha sana! Hivi Wema katoa zawadi gani!
 
Umesahau tu Mkuu... zamani Lulu Michael (huyu Lulu Mathias hata nikikutana nae njiana, wala simjui) alikuwa akitangaza kipindi cha watoto ITV tena kwa muda mrefu tu. Kapiga piga mzigo pale, baadae kibarua kikaota majani! Kama ujuavyo wana-Dar es salaam, wakaanza oh, Lulu katimuliwa ITV kutokana na tabia zake chafu! Sasa katika kujitetea ndo akasema hajatimuliwa bali umri wake ulishakuwa mkubwa kuendesha kipindi cha watoto... kwahiyo akajiongezea miaka ili kuhalalisha madai yake... ulipomuibukia mtiti wa Kanumba, akaukana tena umri ambao aliutangaza zamani...

uko sawa kabisa nilikua nampendaga sana kipindi kile
 
aunt hana haya eti jitu kubwa lile mi km sikosei nshasomaga interview yake kitambo kidogi ni wa 82 yule jamani wakiwa waongo wasiwe wasahaulifu
Duh, geniveros, umezidi kumrundikia miaka... sijui kama una kumbukumbu wakati ule anashiriki Miss Tanzania 2006... kalikuwa kasichana kadogo tu, wala hailekei kama angalau alikaribia hiyo 24 (from 1982) sema baada ya kuingia bongo movie akachakazwa hadi kukomazwa hadi leo hii anaonekana 30 something kama shoga ake Wema! Nakumbuka ile 2006 wakati Wema anashiriki, watu walikuwa na mashaka kama kweli alishatimiza hata hiyo 18, lakini hebu mcheki sasa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom