ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Na yeye anatimiza miaka mingapi? Keshafika 20 au ndo ametimiza sasa?manake dadaz wa dar es salaam,ah wana mambo ile mbaya... ni Lulu peke yake ndie alijiongezea umri baada ya kuona wanamsemanga kwamba eti katimuliwa ITV baada ya kuonekana hajatulia na mwenyewe kusema hajatimuliwa ila umri wake ushakuwa mkubwa kuendesha kipindi cha watoto!! Maajabu hayakuisha, alipokumbwa na tuhuma za mauaji ya Kanumba, ehe! Si akaukana tena ule umri mkubwa na kusema yeye ndo kwanza yupo under 18!!!
Mkuu haujachanganya madesa kweli?



