Happy Birthday Aunty Ezekiel

Happy Birthday Aunty Ezekiel

Duh, geniveros, umezidi kumrundikia miaka... sijui kama una kumbukumbu wakati ule anashiriki Miss Tanzania 2006... kalikuwa kasichana kadogo tu, wala hailekei kama angalau alikaribia hiyo 24 (from 1982) sema baada ya kuingia bongo movie akachakazwa hadi kukomazwa hadi leo hii anaonekana 30 something kama shoga ake Wema! Nakumbuka ile 2006 wakati Wema anashiriki, watu walikuwa na mashaka kama kweli alishatimiza hata hiyo 18, lakini hebu mcheki sasa!!

nakumbuka sana ila aunty mkubwa jamani
 
Last edited by a moderator:
Jasho dawa yake ni kulipiga madeodorant na ma D'or bila kusahau ma Givenchy
mijasho mingine ukiipigia hayo madeodprant ndo inakuwa kama umefanya sound mix... kazi ndo pale ulipozani unafanya mixing ya hip hop unakuja kuibuka na chalanga!
 
Kama ni kweli ana tatizo lingine tu la kiafya. Hivyo vitu vipo ndani ya uwezo wake. Kama ni tatizo la kiafya, akitumia vitu hivyo inaweza kuwa mbaya zaidi! Anze na limau kama deodorant for a few weeks. Asubuhi before eating anything atumie fresh juice ya apple na carrot then breakfast ifuate after at least saa moja.

Kaka hili la jasho mwenzenu lilinikuta.ubishoo wa shule kujaza madeodorant kwapani,ikaja baadae nisipopaka then nkatoka jasho hapakaliki.unakosa Aman kidume huezi hata kumhug baby..
Nikaenda hadi hospital nkashauriwa kunywa maji mengi na nkapewa dawa ya kupaka,haikusaidia sana ila through forum yetu ya mtandao wa school mates ndo nkashauriwa kujaribu ndimu, offcoz imesaidia sana now cko vile tena.ila mekoma na deodorant...only perfume
 
Tumia bicabonate if soda ya kukandia maandazi. Unakoroga kijiko kimoja cha chai kwenye maji vijiko vikubwa viwili unajipaka makwapani unasubiri nusu saa ikikauka unaenda kuoga. Hutanuka jasho kbs. Uwe na mazoea ya kufanya hivyo.

umenichekesha sana!
 
Ushauri wako utakuwa umewasaidia wengi sana humu, ahsante
 
Hua ananitafutia ban nami namtafutia ban lakin shost hata umchambeje lolowapi hakutukani ng'000000,mpaka utachoka

Binamu jana wenzio tulilewaje? Nilikuwa natoka kwenye mishe zangu, sasa njian kuna roli kubwa lilibeba ma kreti ya bia likaanguka mwenzangu, wacha watu tujishebedue na mabia ya bure? Watu wanakimbia na makreti ya bia wengine kama sie ndo tukalewa pale pale, yan ilikuwa shidaa,mpaka wakatupiga na mabomu ya machozi ili tutawanyike,ilikuwa shidaa, ila nashukuru mungu nililewa salama tu na apa nimelala na ma hang over
 
Last edited by a moderator:
Tumia bicabonate if soda ya kukandia maandazi. Unakoroga kijiko kimoja cha chai kwenye maji vijiko vikubwa viwili unajipaka makwapani unasubiri nusu saa ikikauka unaenda kuoga. Hutanuka jasho kbs. Uwe na mazoea ya kufanya hivyo.

Asante sana kwa ushauri. Mm na wakwapa wenzangu tunashukuru.ila niendelee na ndimu au hii yatosha?
 
Binamu jana wenzio tulilewaje? Nilikuwa natoka kwenye mishe zangu, sasa njian kuna roli kubwa lilibeba ma kreti ya bia likaanguka mwenzangu, wacha watu tujishebedue na mabia ya bure? Watu wanakimbia na makreti ya bia wengine kama sie ndo tukalewa pale pale, yan ilikuwa shidaa,mpaka wakatupiga na mabomu ya machozi ili tutawanyike,ilikuwa shidaa, ila nashukuru mungu nililewa salama tu na apa nimelala na ma hang over

Ulilewa sana basi mi nikajua umejitoa out kumbe vya buree bina nawe unaniabishaaaaaaa mfyuuuu
 
Bia si zilianguka binamu? Gar la beer lilipata ajali, sasa ningefanyaje? Ikabidi nilewe pale pale tuh, ilikuwa shidaa
 
Huku lilianguka weee watu walilewajeee waliibajee!! Barabara ilinuka bia tupu
 
Mpaka mabomu ya machozi yakarushwa, watu bado wanakazana kukimbia na makreti, mi si haba nilikimbia n makreti 9, leo sitoki nalewaje? Binamu yako kwa kupenda vya bure
 
Bina uliyabebaje hayo makreti yote! !!ni bia aina ipiii!!!vya bure vitakuua hhhhaaaaaa
 
Mpaka mwenyew najishangaa nimebebaje, makreti tisa na wala sikuchoka, ila macho yamevimba kwa mabomu ya machozi ila nikajikaza tu tu si unajua vitu hadimu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mpaka mwenyew najishangaa nimebebaje, makreti tisa na wala sikuchoka, ila macho yamevimba kwa mabomu ya machozi ila nikajikaza tu tu si unajua vitu hadimu

Bina hujamboo,shikamoooo
 
Ndo maana kila siku wanakufa VIFO vya ajabu na vya aibu, wengine wanapata ajali wanakatika mpaka kichwa kwa ajili ya ushirikina

Binamu naskia mama ubaya naye ni bigwa wa kwenye hayo mambo hadi ku sleep na mganga pia wanaenda ili wapate wa kuwahonga
 
Mama ubaya ni mshirikina sana na mwenzie aunty, vichawi balaa we waache tu siku yao ipo
 
Back
Top Bottom