Happy birthday AY : Mambo kumi usiyoyajua kuhusu yeye

sasa hivi mziki umemshinda,kabaki kuwa dalali wa kazi,mfano mzuri ni alivyomfanyia udalali domo(kaya) kwa davido

We kiumbe unamwaga ..nembe tu hapa ndani, unaujua wimbo wa Zigo? Je umetoka lini?

Kwahiyo kama AY alimfanya Dai kufanya kazi na Davido we hicho chinembe kinawasha sana? Hebu nenda pale Guguruni mida ya saa nne kuna wakunaji wengi tu alaaah..!!!

BACK TONGANYIKA
 

Mkuu yaani AY ni msanii anayejitambua sana, hana makuu, hana mibifu ya kijingajinga. Hana wivu kwa wasanii wanaofanya vizuri kwenye game, yeye kwa lolote ambalo liko ndani ya uwezo wake anakuaidia vizuri sana.

Nakumbuka ndiye msanii wa kwanza kuanza kupasua anga za Kimataifa kwa kufanya kazi na wasanii wa nje. Alianza kiutani tu kwa kufanya kazi na CMB Prezzo pale Kenya na wimbo wao Nipe nikupe ulihit sana enzi hizo na mpaka leo huchoki kuusikia, toka hapo akapasua zaidi mpaka kufanya kazi zi Kingston si mchezo.

Nakumbuka yeye na MwanaFa ndiowaliokuwa wasanii wa mwishomwisho kuachana na kundi la GK (Nimesahau jina) Wasanii wote walikimbia na kuanza kufanya mziki kama solo lakini wao walikomaa hata baada ya Gk mwenyewe kuanza kuchuja walibaki mpaka walipoona sasa basi. Kumbuka Wasanii walikuwa wakifanya vizuri kwenye kundi hilo ni yeye na MwanaFa tu GK kwenyewe alikuwa haoni ndani kwa hao jamaa. Kwakweli Mungu amzidishie sana AY

Unaikumbuka ngoma ya HII LEO

BACK TANGANYIKA
 

Hakika anastahili heshima yake huyu baba,sasa hivi anaendesha RANGE AY.Huyu ni mfano wa kuigwa kwa sisi vijana kwa kweli
 
 

Attachments

  • salute AY.JPG
    53.2 KB · Views: 1,364

Then watu wanasema ni management ya Daimond ndo iko vizuri

Iko vizuri my a.ss!
 
Then watu wanasema ni management ya Daimond ndo iko vizuri

Iko vizuri my a.ss!

kila kitu kinamchango wake ndugu.... kumbuka collable ya kwanza ya kimataifa ni nakupenda by iyanya...

Hata hivyo ommydimpoz alipewa pande akamshirikisha jmartins kwanini hayupo alipo diamond???

unaufahamu wimbo wa pallaso ft. davido umetoka mwaka huu lakini pallaso anahit??

Radio na weasel walitoa wimbo wao na wizkid lakini je wapo alipo diamond hivi leo???

Mwisho tu, heshima yake sana AY huyu jamaa kwangu mimi ndio true legend kwa wanamuziki ninaowafahamu Afrika mashariki, hustle zake ni zaidi ya diamond ila tu diamond amejua zaidi mikakati, management ipo poa na nyota..

Happy birthday AY
 

Nilikusubir usahau kusema nyota nikukumbushe.
Unajua ukimfatilia Naseeb (Dai) toka anatoka hakuna cha ajabu saaana alichokifanya tofauti na wenzie akina belle9 na wengine wengi.
Hii tunzo ya msanii chipukiz alopewa baraka ingekuwa kapewa Diamond ungeona mripuko wake.

Kuba wasanii weng wagen kwenye industry mf. Ruby,Sam,malaika,mirror,mo music n.k lakn kuna unaemwona anaonesha dalili za kuwa Diamond?
Wanadai inshu ni kudate na Wema,vip akina Jumbe,Charles Baba,bayser (inasemekana),include huyo bwana mpya (Linah tingz) vp wao mbona hawajawa Diamond kwenye kaz zao??
Kwa sis tunaoamini kuna kitu kinaitwa "kupakwa mafuta" ndo hicho nnachokiona kwa Diamond.Nan anamkumbuka Cpwaa? Si alitoa sana video sauz? Then?

Mwisho kabisa,namnukuu FA "Mungu hakupi kama hataki,na hata....." Mwisho wa kunukuu.
 

Huyu Cpwaa kapotelea wapi? alikuwa anakuja juu video kali kuna Quick rack sa hvi anaimba mduara! hii inaitwa Kufa Kufaana
 

hilo la pili la mwaka wake wa kuzaliwa ni uongo!!! AY hajazaliwa 1982.
 

well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…