mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Tuambie sasa kazaliwa mwaka gani?
according to yeye mwenyewe iyo ni personal issue,kama angetoa go ahead ningeweka hata cheti chake cha kuzaliwa..ila jua tu hajazaliwa huo mwaka wa 1982..ni mkubwa zaidi zaidi ya hapo.