Hawa wenzetu wako juu Sana. Kwa maneno wanayorushiana majukwaani usingetegemea kitu kama hiki. Hawa ndiyo wanathibitisha kwa vitendo kauli kuwa *siasa siyo uadui"
Vile vile, Rais Uhuru na makamu wake wametofautiana hadharani muda mrefu Sana lkn kamwe hatujasikia Uhuru akimshinikiza Ruto kujiuzulu.