Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa walitofautiana kwenye BBM kama cjakosea! Just imagine Job kubwabwaja kidogo kashinikizwa mpaka na mapress conferess ajiuzulu!Hawa wenzetu wako juu Sana. Kwa maneno wanayorushiana majukwaani usingetegemea kitu kama hiki. Hawa ndiyo wanathibitisha kwa vitendo kauli kuwa *siasa siyo uadui"
Vile vile, Rais Uhuru na makamu wake wametofautiana hadharani muda mrefu Sana lkn kamwe hatujasikia Uhuru akimshinikiza Ruto kujiuzulu.