Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yes... It is my birthday...
Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana...
Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu...
Ahsante Mungu .... Ahsante na kwa ndugu jamaa, wajukuu na marafiki kwa kuwa nami hadi hivi leo...
CC: Wife Sky Eclat ... Tumetoka mbali mama
BCC: Mchepuko Sakayo ahsante kwa faraja, bibi yako anapokuwa hayupo.
Habari hizi ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo
Numbisa Bonny mshana jr Inna Shunie espy emmyta Mwifwa nasubiria zawadi zenu... Huyu mzaliwa habagui vinywaji.