Happy Birthday Babu ODM

Happy Birthday Babu ODM

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Yes... It is my birthday...

Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana...

images

images

TELEMMGLPICT000145446857_trans_NvBQzQNjv4BqcpoWzwBIzlnewd68KzIvqGcMnEisTpI6llwntLLNx_8.jpeg

malicksidibe_blouinartinfo_2septembre2016.JPG



Malick%20Sidibe%20media.jpg

BN-VP141_SIDIBE_16RH_20171013205447.jpg

image_1483897768-4ad08860d6.jpg

mali-twist-photographe-malick-sidibe-fondation-cartier.jpg




Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu...

Ahsante Mungu .... Ahsante na kwa ndugu jamaa, wajukuu na marafiki kwa kuwa nami hadi hivi leo...

cf6a6315024c11b493846bef203e2d62.jpg


CC: Wife Sky Eclat ... Tumetoka mbali mama
MS.25.3.jpg


BCC: Mchepuko Sakayo ahsante kwa faraja, bibi yako anapokuwa hayupo.

9a6d7760f00a9f9aaecdcd01921c9d6f.jpg


Habari hizi ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo

Numbisa Bonny mshana jr Inna Shunie espy emmyta Mwifwa nasubiria zawadi zenu... Huyu mzaliwa habagui vinywaji.
 

Attachments

  • upload_2018-1-21_6-18-2.jpeg
    upload_2018-1-21_6-18-2.jpeg
    9.9 KB · Views: 75
Shikamoo mzee...
Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... Sherehekea kwa amani na epuka vinywaji vikali kwa afya ya ini lako.

Wasalaam wote.
 
Mkuu tubariki wajukuu zako kwa kutupa usia kuhusu kujikwamua kiuchumi
 
Back
Top Bottom