Hahah mkuu grants haipo ila kuliko kupiga grants bora uguse black label kidogo jnakunywa huku unawaza hela yako kiasi....Marahaba kijana...
Btazingatia ushauri wako... hapo kwa Red, Grants imo?
Wacha wee...Happy Birthday to the only man I happen to [emoji173]️ love. What a coincidence to celebrate your birthday in a Sunday.
It's a time to give God the glory for his love, kindness and protection for all these years you have been on earth
Happy Birthday Aspirin and i'l never stop loving you.
Bibi Sky Eclat
Inaitwa mahaba niuweWacha wee...
Penzi upofu. Pamoja na michepuko yote bibi hukomiInaitwa mahaba niuwe
Mbu kukunyima usingizi ume waruhusu. Michepuko ni nadharia sijaiona lakini kanisani nilikuwa peke yangu ndani ya white dress.Penzi upofu. Pamoja na michepuko yote bibi hukomi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo White dress kwako ndo kila kitu? Unaweza ona kuna michepuko tunatunzwa na kubembelezwa hata wewe unayejivunia white dress huoni ndaniMbu kukunyima usingizi ume waruhusu. Michepuko ni nadharia sijaiona lakini kanisani nilikuwa peke yangu ndani ya white dress.
Basi ni mjuzi sana, sijaona tofauti ya mapenzi tangu tukiwa wachumba.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo White dress kwako ndo kila kitu? Unaweza ona kuna michepuko tunatunzwa na kubembelezwa hata wewe unayejivunia white dress huoni ndani
[emoji13] [emoji13] [emoji13] endelea kujifarijiBasi ni mjuzi sana, sijaona tofauti ya mapenzi tangu tukiwa wachumba.
Acha tusherehekee birthday bwana haya siku nyingine.[emoji13] [emoji13] [emoji13] endelea kujifariji
Sawasawa maza hausi mi mwenyewe ulimi umeteleza tuAcha tusherehekee birthday bwana haya siku nyingine.
Am humbled!Happy Birthday to the only man I happen to ❤️ love. What a coincidence to celebrate your birthday in a Sunday.
It's a time to give God the glory for his love, kindness and protection for all these years you have been on earth
Happy Birthday Aspirin and i'l never stop loving you.
Bibi Sky Eclat
Ahahhh sitaki mimiAmina mjukuu. Njoo maeneo ya Bunju B nikulishe matango na matikiti maji