Happy birthday baby STUNTER

Happy birthday baby STUNTER

Yaani mtoto unavaa pampas nakuangalia leo kisa upo na bro unajiona kakubwa haya kina espy nao wasemeje?
Uwiii nilikuwa sijaona hapa vzr[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
 
Happy born day rafiki yangu STUNTER we ni mtu mzuri sana jf kati ya watu nnaowapenda basi nawe umo ,,uishi miaka mingiii na mzae watoto na jje's wengii kama timu ya mpira wa miguu na mdumu kwa amanii.nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Happy Birthday bro! You’re now living proof of the old saying that “Boys will be boys, and so will a lot of middle-aged men
Well, Thanks for your valuable advice, man God bless u
 
Back
Top Bottom