Happy birthday baby STUNTER

Happy birthday baby STUNTER

Happy born day rafiki yangu STUNTER we ni mtu mzuri sana jf kati ya watu nnaowapenda basi nawe umo ,,uishi miaka mingiii na mzae watoto na jje's wengii kama timu ya mpira wa miguu na mdumu kwa amanii.nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ahsante sana mshkaji wangu, You know sijajuta kukufahamu na naomba Mungu pia akupe maisha marefu ili tuzidi kufurahi, Ubarikiwe Dina
 
Happy birthday Man......
Have a Blessed Life......!
 
Back
Top Bottom