Happy birthday Bantu Lady

Ndo ajiite Babu mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­
 
Ameeenaaa ameeenaaa kubwa baboooo!!!🀩

Lol nilikua naona kabesaaa something was wrong kulee kumbe ni kutokuwepo kwakoo banaaa!!!!

Kabisa babuu would sacrifice anything just for her grandoutaa!!

Happiest birthday Gourgeous!!
 
Antonnia my love, my friend my Bestie. Mrembo wangu. Asante sana nimeishiwa maneno na sikutegemea hili πŸ™πŸ™πŸ™ Ubarikiwe sana sana.
Na watu wote familia yangu JF nawashukuru sana kwa wishes zenu. Nimefurahia sana mmeifanya siku yangu iwe nzuri zaidi.

Nitajibu kila comment, japo niko njiani nikielekea nje ya mji kusheherekea siku yangu hii. Nawapenda sana sana 😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Asante sana mzee wa Hall 5 sumbai pamoja sana.
 
Ameeenaaa ameeenaaa kubwa baboooo!!!🀩

Lol nilikua naona kabesaaa something was wrong kulee kumbe ni kutokuwepo kwakoo banaaa!!!!

Kabisa babuu would sacrifice anything just for her grandoutaa!!

Happiest birthday Gourgeous!!
Ameeeena kubwaaaaa ya radiii 🀩🀩🀩😍😍

Gorgeous achaguee ka nyota tano kepii tukale kekiii hadi paluche maaana Babuuu na wajukuuu wake kama samaki na majeeeee.... 😍😍😍
Your browser is not able to play this audio.
 
Enjoy your special day to the fullest bestiee!!😘😘πŸ₯³πŸ₯³!! !!
 
Ameeeena kubwaaaaa ya radiii 🀩🀩🀩😍😍

Gorgeous achaguee ka nyota tano kepii tukale kekiii hadi paluche maaana Babuuu na wajukuuu wake kama samaki na majeeeee.... 😍😍😍
View attachment 2662893
Kabesaaa babuuu tunajua uko makeneee!!! Acha nejeandaeee akishachauaa unistuee nikajiachie mieee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…