Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Tena sio mgeni nae wa muda humu sijui alikwama wapi hata!
Anashoia sana, yupo humu kama hayupo. Na akizuka ni kama hivi kama mzee wa Ini Oyaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Helloowww guyss!!!

Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!

Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!

Happy birthday Bantu Lady

View attachment 2662769View attachment 2662770
Kwenye hizo picha Bantu Lady mwenyewe ndiyo yupi πŸƒπŸƒ

Shughuli za kilimo zinanifanya nipitwe na mengi huko Mjini

Happy belated birthday Mjukuu, Mungu akusaidie uishi miaka mingi hadi umpite Babu yako hapa Umri πŸ€ͺ
 
Ni mmoja wapo babuu!!

Kilimo ni uti wa mgongo bila kilimo sote tutakufa njaa!!
 
Anashoia sana, yupo humu kama hayupo. Na akizuka ni kama hivi kama mzee wa Ini Oyaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚! Ndio aanze kuchangamkiaa vitruu humuu asizubaee akapitwa tena!! 😁
 
Kweli Babu yenu nimekuza, yaani Bantu Lady mwaja juzi tu alikuwa na miaka 13 leo hii ametimiza miaka 15 πŸ€—

Muulize kama meno yamemwota nimletee Korosho atafune, kama bado nimletee maziwa ya mbuzi anywe πŸ€ͺ
Vyote Anatumia babuu keki ilikua jana kasema Leo siku ya 🍾🍾🍾🍾🍾

Haya Do the needful namba yake ni ileilee babuu ;πŸ˜πŸ˜‚
 
Kweli Babu yenu nimekuza, yaani Bantu Lady mwaja juzi tu alikuwa na miaka 13 leo hii ametimiza miaka 15 πŸ€—

Muulize kama meno yamemwota nimletee Korosho atafune, kama bado nimletee maziwa ya mbuzi anywe πŸ€ͺ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Babu kama Babu πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ Tonnia Babu wa mchongo atuletee korosho. Nitazipitia kwako mamii
 
Weee mi hapana akuleteee wewee basdei gal mi ntakuja kudoea kwako!!😊
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Babu kama Babu πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ Tonnia Babu wa mchongo atuletee korosho. Nitazipitia kwako mamii
Korosho zitakufikia za kutosha, ila uwe jirani na Mkwe wangu maana nazijua zile πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Back
Top Bottom