Happy birthday Bantu Lady

Peace/ Amani Zinekua hovyo sana sikuhizi sijui Wanakwama wapi! Hata performance imeshuka sana
Enzi hizo zilikua hot sana!!
Kumbe unazimanya Sana mnywani!!

Nilitoka hapo 2008 form 4.
Enzi hizo tulikua tunakimbiza mkoa mzima mpaka wakawa wanasema tunaiba pepa.

Since amani ajiunge na siasa zilidrop na hazipata rejea Hadi leo
 
Kumbe unazimanya Sana mnywani!!

Nilitoka hapo 2008 form 4.
Enzi hizo tulikua tunakimbiza mkoa mzima mpaka wakawa wanasema tunaiba pepa.

Since amani ajiunge na siasa zilidrop na hazipata rejea Hadi leo
Yeahhh pesa zote alimalizia huko siasani saivi yupoyupo tu!!
Wee mnywanii kumbe nawe muhengaaa lol!! National Anthem wee form 4 mwaka ganiii mjombaa??😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…