Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilipata 1 ya 8 F6 nina E ya physics lakini usiniulize masomo mengine nina ngapi π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kichwa changu ni Mungu pekee anakijuaNyinyi mlishindikana kwa kweli. Mlipasua lakini form six?
Hebu tubless kwaniii ankoo Tonniah mshamba tu hana lolote!Hivi unajua kila nikionaga comment yake picha yake inanijiaga ππ
Najikuta namwaga makopa tu bro, daah tonnia mzuri bwana weeee
Sipati picha alivyokuwa binti khaaa one of a kind kila idara amekamilika,
Basi tu yaani
Blessings zimeisha mpaka siku ingine ππππHebu tubless kwaniii ankoo Tonniah mshamba tu hana lolote!
Binadamu wote ni wazuri Anko anguu fanya kwanza blessings mchana wangu ukae vizuree hapaa!!
Asante ila A level sio mchuzi aseee.Wee kumbe kwa head uko vizure mnywanii hongera sana!!
Tulikula suspension mbantu mpaka siku ya pepa!Nyinyi mlishindikana kwa kweli. Mlipasua lakini form six?
Hongera pamoja na utukutu, kichwa kina charge naona mdogo ake vizuri sana.Mi nilipata 1 ya 8 F6 nina E ya physics lakini usiniulize masomo mengine nina ngapi π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kichwa changu ni Mungu pekee anakijua
Yeahhh dakika za majeruhi ukikomaa unatoboaa mbona hongera sana!! Ndio umedinda kuniambia unasomea kozi gani ankoo??π€π€πAsante ila A level sio mchuzi aseee.
Nilipitia hell 2021 nikiwa F5 acha tu 2022 F6 ilikuwa blessings kwangu wengi tuliponea dakika za majeruhi π€£π€£π€£π€£
Bora miaka hio mlikua wakorofi afu kichwani zimooo! Sikuhizi sasa mikorofi ilio mingi empty setπππ!!Tulikula suspension mbantu mpaka siku ya pepa!
Hata tulivyorudi shule wanafunzi wenzetu wakaambiwa wasijichanganye na sisi tukawa tunatokea kijijini 4km away kuja kupiga pepa na kurudi kijijini
Mungu alivyomwema wale wasumbufu ndo tulikula vijiti vikali hatari!! Chino Huyo nikaenda ungana na sumbai pale hall 5.
Hongera sana, mara nyingi watundu shuleni wengi wao hutoboa paper na wakati mwingine maisha. Ule utundu na ujanja wao huwasaidia pia.Tulikula suspension mbantu mpaka siku ya pepa!
Hata tulivyorudi shule wanafunzi wenzetu wakaambiwa wasijichanganye na sisi tukawa tunatokea kijijini 4km away kuja kupiga pepa na kurudi kijijini
Mungu alivyomwema wale wasumbufu ndo tulikula vijiti vikali hatari!! Chino Huyo nikaenda ungana na sumbai pale hall 5.
Wa miaka hio sio hawa watukutu wa leo sikuhizi watoto hawasomiii wanakalia ukorofi tu! Zama zimebadilika sana dear!Hongera sana, mara nyingi watundu shuleni wengi wao hutoboa paper na wakati mwingine maisha. Ule utundu na ujanja wao huwasaidia pia.
Yaani ππ»ππ»ππ»ππ»πππππ anazijua mwenyewe. Hivi ufukunyuku sijui aliishia wapi? Au UE ilimbana sijui.Kwakweli sema akili zake anazijua mwenyewe Penseli 4 π
Watoto wa sikuhizi empty Sana pepa zenyewe mnawagawia rahisi lakini full kuchora katuni kwa pepa.Bora miaka hio mlikua wakorofi afu kichwani zimooo! Sikuhizi sasa mikorofi ilio mingi empty setπππ!!
Yanii sikuhizi Mitihani ni myepesi sana majibu waziwaziiii.... hao watoto sasa akili zao wanazijua wenyewe tu!Watoto wa sikuhizi empty Sana pepa zenyewe mnawagawia rahisi lakini full kuchora katuni kwa pepa.
Siku navyofata gamba mkuu ananiambia Chino umeacha utundu hahaha nikawa nacheka tu
Second master nilikutana na ud nilivyokua mwaka wa nne alikuja ongeza kisomo
Mshua nilimla chenga ya mwili akaniambia hakikisha unajaza sauti ndo chuo ambacho hakina maandamano au mzumbe nikamuitikia tu!Hongera sana, mara nyingi watundu shuleni wengi wao hutoboa paper na wakati mwingine maisha. Ule utundu na ujanja wao huwasaidia pia.
Hiyo hapo tonnia ππππWeee usintanieeee ankoo unanidindiajee mchana kweupeeee kabesaaa acha hizooo ankoo akee fanya kama unabless one minute unafuta!