Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Asante mdogo ake, nilikunywa usiku wa kuamkia leo naona huko kichwani vimekorofishana.π’π’π’, pole auntiee mzuri mmmh.
Drink water na panadol extra kipenzi au hulali vizuri... Labda π₯π©π©
Hope you get well
Utapona tu, πππ€π€π€π€π€Asante mdogo ake, nilikunywa usiku wa kuamkia leo naona huko kichwani vimekorofishana.
Asante kipenzi Tonniah πππPole dear!
Ni ki singo maza nimekibahatisha kupitia id yangu fulani hivi....Naelewa ni utani ankoo akeee hunaga hizo mamboo kabesaa!
Weee unamtengenezea nani ankoo akee ukipata wawilii usinisahau auntie ako hapaaππ!!
π π π π π π , una ka utani na mjeda eeh..... π€£π€£πΆAnkoo Penseli 4 kasema ananitafutia shem akeee namie niringe etiii Kweli maji ya bahareee na mafushoo yanaendelea kufanya Kazi yake vemaa ππππ!
Nawe uongeze kufunga na kuomba kwani!ππ
Nimeona Ankoo ana mambo π π π π vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaume thubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.Ankoo Penseli 4 kasema ananitafutia shem akeee namie niringe etiii Kweli maji ya bahareee na mafushoo yanaendelea kufanya Kazi yake ππππ!
Nawe uongeze kufunga na kuomba ππ kwani!
Tunaendeleza maombii na kujifukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!Ni ki singo maza nimekibahatisha kupitia id yangu fulani hivi....
Yupo portable ana 25, natengeneza njia tu vyedi....
Mpaka siku atakayoanza kuniita baby, na malavi davi
Uzuri sio mchangiaji mzuri humu.... Ila yupo gado sana ππ
Daaaah ubaya sisi tupogo cheap sana. Sijui kwann yaani π€£π€£π€£π€£π€£.Nimeona Ankoo ana mambo π π π π vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaume thubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
No worries auntiee mzuri ntatulia ππ€£π€£ππTunaendeleza maombii na kujidukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!ππ€!
Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
π π π π π π , una ka utani na mjeda eeh..... π€£π€£πΆ Wizooo
Alikosea ni Wizoo sio shemm .. Penseli 4 kapata wa kumbebishaa anasubiria kuitwa babe tyuu!Nimeona Ankoo ana mambo π π π π vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaumthubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
Ooh kumbe ni wizzo sawasawa nilikosea lugha basi,Alikosea ni Wizoo sio shemm ...@Penseli 4 kapata wa kumbebishaa anasubiria kuitwa babe tyuu!
Mie Jf nawawezeaa wapi lol siwaweziii na sitrakiiii trenaaaa πππ!
Acha nipambane naharee yangu tu kwakweli ππ!
Ok βΊοΈβΊοΈβΊοΈππ€π€π€π€ no worriesKabesaaa ankoo yale zile fujo zako uachee!;
Mdogo ake naye anachanya madesa. Ni wifi bana Penseli 4 siyo shemeji. Tungekuwa wa kiume ndiyo ungesema shemeji yenu. Tonniah mpk ukamchanganya.Tunaendeleza maombii na kujifukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!ππ€!
Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
Oh sawasawa kumbe wifi mi kiswahili nilipata C bana haya mambo yananichanganyaga sana sijui kwann.Mdogo ake naye anachanya madesa. Ni wifi bana Penseli 4 siyo shemeji. Tungekuwa wa kiume ndiyo ungesema shemeji yenu. Tonniah mpk ukamchanganya.
Ila wewe eti umeyajua juzijuzi. Nimekuona kwenye ile ... nyingine huishi vituko π π π πOoh kumbe ni wizzo sawasawa nilikosea lugha basi,
Mi haya mambo ndo nimeyajua juzi juzi tu, ππππ....