Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

😒😒😒, pole auntiee mzuri mmmh.

Drink water na panadol extra kipenzi au hulali vizuri... Labda πŸ˜₯😩😩

Hope you get well
Asante mdogo ake, nilikunywa usiku wa kuamkia leo naona huko kichwani vimekorofishana.
 
😒😒😒, pole auntiee mzuri mmmh.

Drink water na panadol extra kipenzi au hulali vizuri... Labda πŸ˜₯😩😩

Hope you get well
Amina kubwaaa ankoo atakua sawa IJN !
 
Asante kipenzi Tonniah 😘😘😘
Ankoo Penseli 4 kasema ananitafutia shem akeee namie niringe etiii Kweli maji ya bahareee na mafushoo yanaendelea kufanya Kazi yake vemaa πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜„!
Nawe uongeze kufunga na kuomba kwani!πŸ˜„πŸ˜„
 
Naelewa ni utani ankoo akeee hunaga hizo mamboo kabesaa!

Weee unamtengenezea nani ankoo akee ukipata wawilii usinisahau auntie ako hapaaπŸ™‡πŸ˜„!!
Ni ki singo maza nimekibahatisha kupitia id yangu fulani hivi....

Yupo portable ana 25, natengeneza njia tu vyedi....

Mpaka siku atakayoanza kuniita baby, na malavi davi

Uzuri sio mchangiaji mzuri humu.... Ila yupo gado sana 😍😍
 
Ankoo Penseli 4 kasema ananitafutia shem akeee namie niringe etiii Kweli maji ya bahareee na mafushoo yanaendelea kufanya Kazi yake vemaa πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜„!
Nawe uongeze kufunga na kuomba kwani!πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, una ka utani na mjeda eeh..... 🀣🀣😢
 
Ankoo Penseli 4 kasema ananitafutia shem akeee namie niringe etiii Kweli maji ya bahareee na mafushoo yanaendelea kufanya Kazi yake πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜„!
Nawe uongeze kufunga na kuomba πŸ˜„πŸ˜„ kwani!
Nimeona Ankoo ana mambo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaume thubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
 
Ni ki singo maza nimekibahatisha kupitia id yangu fulani hivi....

Yupo portable ana 25, natengeneza njia tu vyedi....

Mpaka siku atakayoanza kuniita baby, na malavi davi

Uzuri sio mchangiaji mzuri humu.... Ila yupo gado sana 😍😍
Tunaendeleza maombii na kujifukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!πŸ˜ŠπŸ€—!

Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
 
Nimeona Ankoo ana mambo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaume thubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
Daaaah ubaya sisi tupogo cheap sana. Sijui kwann yaani 🀣🀣🀣🀣🀣.

Tukiona tako tu, akili zinahama asee sijui kwann,

Nyie mnaweza kuficha sana hisia na kujicontrol njoo kiumeni sasa.

Utasema chizi la wapi sijui..... Anyway ni nyege tu ndo zinatusumbua tu hamnaga kingine 🀣🀣🀣 zinawasha kama pilipili manga
 
Tunaendeleza maombii na kujidukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!πŸ˜ŠπŸ€—!

Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
No worries auntiee mzuri ntatulia πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, una ka utani na mjeda eeh..... 🀣🀣😢 Wizooo
Nimeona Ankoo ana mambo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vizuri wa wapi sasa? Maana ulisema JF umenawa mikono. Miye aaah nifunge na kusali kwaajili ya mwanaumthubutu. Nirafunga kwa mengine siyo mwanaume hawa wapo kibao, unachagua tu yupi utulie naye.
Alikosea ni Wizoo sio shemm .. Penseli 4 kapata wa kumbebishaa anasubiria kuitwa babe tyuu!

Mie Jf nawawezeaa wapi lol siwaweziii na sitrakiiii trenaaaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Acha nipambane naharee yangu tu kwakweli 😊😊!
 
Alikosea ni Wizoo sio shemm ...@Penseli 4 kapata wa kumbebishaa anasubiria kuitwa babe tyuu!

Mie Jf nawawezeaa wapi lol siwaweziii na sitrakiiii trenaaaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Acha nipambane naharee yangu tu kwakweli 😊😊!
Ooh kumbe ni wizzo sawasawa nilikosea lugha basi,

Mi haya mambo ndo nimeyajua juzi juzi tu, 😁😁😁😁....
 
Tunaendeleza maombii na kujifukiza ankooo hapo ni wizoo sio shemmm!!!
Kila la kherii anko akee ila utulie uache bange zako sasa make wee akili yakoo Mbili kasoro!!πŸ˜ŠπŸ€—!

Sasa usitumie hizo lughaa mbaya ankoo !!
25 basi binti mtoto kabisa Enjoyyyyyyyy maisha ndio hayahayaaa anko akeee!
Mdogo ake naye anachanya madesa. Ni wifi bana Penseli 4 siyo shemeji. Tungekuwa wa kiume ndiyo ungesema shemeji yenu. Tonniah mpk ukamchanganya.
 
Ooh kumbe ni wizzo sawasawa nilikosea lugha basi,

Mi haya mambo ndo nimeyajua juzi juzi tu, 😁😁😁😁....
Ila wewe eti umeyajua juzijuzi. Nimekuona kwenye ile ... nyingine huishi vituko πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom