Happy birthday Bantu Lady

Na mie shangazeee 🫣🫣.. Nikae tu nyuma yenu kuwalinda
Mfyyuuu siku zote najiuliza mbona mjomba wangu hawajamuachia tuuu kumbe umejificha huko kwa babu mwehu!!🤩🤩🤩😘😘😘!!

Miss you sanaaa mjombaaaa!!
Kam kauwaa kamati ya ulenzeee tunakutegemeaaa!! Nyuma hapiti mtyuuu mjomba umesimama imaraaa💪🕺😊😊!!
 
Nashauri tuanzishe JUMUIYA YA WATU WENYE MAKOMWEE tuwe tunapena Birthday wishes.

Hivi inawezekanaje tangu nijiunge Jamiiforums sijawahi kupewa Birthday wish??

Tutaunda jumuiya.

Hivi Kaka Max unawezaje kuruhusu mtu mashuhuri kama mimi nisipewe birthday wish? Maxence Melo
 
😅😅 Kama kawa hata nzi hakatishiii yani.. ulinzi na usalama kama wote... huku tukiendele kula vibe za birthday Girl Bantu Lady wa ukweli, malaika wa roho asie na bayaa wala hilaaa.. aishi tu yani maisha marefu akitaka na mika yangu namkopesha 😅😅😅...

Babu aliona jana isiwe case aje kuwasalimia wajukuu wake hasa alipo ona kuna mjukuu mmoja leo ni siku yake ya kuzaliwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…