Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

😅😅 Kama kawa hata nzi hakatishiii yani.. ulinzi na usalama kama wote... huku tukiendele kula vibe za birthday Girl Bantu Lady wa ukweli, malaika wa roho asie na bayaa wala hilaaa.. aishi tu yani maisha marefu akitaka na mika yangu namkopesha 😅😅😅...

Babu aliona jana isiwe case aje kuwasalimia wajukuu wake hasa alipo ona kuna mjukuu mmoja leo ni siku yake ya kuzaliwaa
Barikiwa sana tumekumiss sana Ankol. Iishe tu urudi bana. Nashukuru kwa uwepo wako leo hapa. Niko na raha tu leo 😍😍😍😍 Babu Mwehu
 
Back
Top Bottom