Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Ishi sana..kila uombalo ulipate na uishi maisha ya ndoto zako😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe pisikali namna hiyo daahEendiwoooooooo ndiwooo mkuu!!Its her birthday tudeiii!!💃🍾
Happy birthday, happy new age.Nakupenda zaidi mwanamke wa shoka unayejiamini. Asante sana To yeye
Naomba nisaidie namna ya kumpatia zawadi niliyomuandaliaMnoooooo!!
Haya nasubiri uni PM ☺️Usijareee wacha nimpange😊!!
Asante kwa ujumbe mzuri, Satoh Hirosh samahani. Yaani ndiyo narudi na kupumzika 🙈🙈🙈🙈🙈🙈Kutokea Kipatimo,kilwa mkoani Lindi,nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa binti mrembo Bantu Lady
Ujumbe: Ishi kwa upendo na kumtumainia Mungu.
Naitwa Satoh Hirosh
Asante sana kocha Nabi 🔰🔰🔰happy birthday to her.
Asante mtani pamoja karibu Yanga 😅😅😅 Kambi ya FisiNajua umri ni namba tu, hujakosea kunipanga na hiyo 0 ni namba tu, ila wewe ni yule yule hata bila kuhesabu namba.
Happy birthday to you mtani.
Thank you dear Billionaire wa Betting 🙏Happy birthday 🎈 love
Thank you mrembo wangu Hannah 😘😘😘Happy birthday dear
Asante Dumas the terrible 😅😅😅😅😅 Yes ndiyo mimi na poleni 🤣🤣🤣🤣bazee huyo Bantu Lady ndio nani hapo mjini Jamii Forums?
sie wengine tupo huku Fesibuku vijijini ,
au ndie yule wa kutuwekea mapicha ya kuongeza upwiru?
anyway
hepi besidei!
Ninayo hadi cap ya wananchi na nilipanga nikupe wewe kama zawadi kwa birthday yako ila mmmmh no contact sijui nitakuletea wapi.Asante mtani pamoja karibu Yanga 😅😅😅 Kambi ya Fisi
Asante sana Chino, Amina nimepokea 🙏 KapachinoKheri ya siku ya kuzaliwa kwako mrembo haswa Bantu Lady
Mungu wetu akupe na kubariki maisha marefu yenye tija.
Enjoy ur day.