Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Jamani Joe Navarro asante. dronedrake akubali kuacha mkono wake mmoja, hawezi 🤣🤣🤣🤣dronedrake sasa huyu dada ndio wakumlia Nyetto.
Achana na wale hata Teja ashobokei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Joe Navarro asante. dronedrake akubali kuacha mkono wake mmoja, hawezi 🤣🤣🤣🤣dronedrake sasa huyu dada ndio wakumlia Nyetto.
Achana na wale hata Teja ashobokei.
Thank you Beautiful ram Yanga Daima mbele nyuma mwiko 💪💪💪🔰🔰🔰🔰🔰😍😍😍😍Happy Birthday Mwananchi Bantu Lady long life to you.
Asante sana Mkuu Smart911 Barikiwa🙏Kila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa...
Asante sana mdogo wangu mrembo Dahan nakupenda 😘😘😘Happiest birthday sisy angu kipenz Bantu Lady 😍... Ishi sana, huna baya.. 🎂👏
Amina na asante sana mrembo wangu Lovie Lady Barikiwa sana 😍😍😍Ishi sana..kila uombalo ulipate na uishi maisha ya ndoto zako😍
Sorry kwa kuchelewa kujibu, ndiyo tumemaliza Urban Edmund ilikuwa somewhere (......) 🥂party wapi mrembo Bantu Lady
Asante sana Shadeeya mrembo wetu wa Yanga 🔰🔰🔰😘😘😘Kheri ya siku ya kuzaliwa kwake M'Mungu ampe kila la kheri. 🤝
Thank you my Beautiful Mamy K 😘😘😘Happy birthday, happy new age.
Asante sana rafiki Mzee wa kupambania
Acha tu rafiki yangu. Mnisamehe bure, nilitamani kuwa hapa siku nzima. Shida kuawa na moment hata simu sishiki. But kila kitu kimeenda sawa 😘Hatimae umepata gap after a long day.
miaka inaenda we furahia kupitiliza😀Gily acha uchokozi basi 🤣🤣🤣🤣 nilikuwa na marafiki waliandaa huko nje ya mji. Na ndiyo tumerudi. Nyinyi na wao mmeifanya hii Birthday kuwa ya kipekee sana. Asanteni 🙏
Asante sana Watu8 Barikiwa sana. Humu ndani mambo mengi 😅😅😅 unaweza pitwa tu. Kwa kweli ilikuwa nzuri nmshukuru Mungu kwa hilo. Tunazidi kuzeeka tu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Inakuaje sikuona huu uzi...
Naamini kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako Bantu Lady ilikuwa njema...
Heri na fanaka kwako mama...
Sijapenda.Asante kwa ujumbe mzuri, Satoh Hirosh samahani. Yaani ndiyo narudi na kupumzika 🙈🙈🙈🙈🙈🙈
Pamoja sana rafiki yangu. Kila la kheriAsante sana rafiki Mzee wa kupambania