Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Gily acha uchokozi basi 🤣🤣🤣🤣 nilikuwa na marafiki waliandaa huko nje ya mji. Na ndiyo tumerudi. Nyinyi na wao mmeifanya hii Birthday kuwa ya kipekee sana. Asanteni 🙏
miaka inaenda we furahia kupitiliza😀

bibi yangu alikuw analilia maziwa yan nimepew na mama maziwa kweny bilauri na yeye anayalilia. Akipewa ya kwake hataki anataka anywe ya kwangu 😉 na mimi nalia sana pale mama anaponiwekea mengine nataka yale yale ya bilauri

need I say more😬
 
Back
Top Bottom