Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Helloowww guyss!!!

Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!

Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!

Happy birthday Bantu Lady

View attachment 2662769View attachment 2662770
Maashaa Allah
Maashaa Allah
Maashaa Allah
Nilikuwa wapi jana masikini ya Mungu mimi mpaka nachelewa kumu wish kichanga huyu.
Nimeishiwa pozi kabisa juu ya huyo katoto karembo....
Sijui kama picha ya mtoto huyu kama imeletwa hapa jukwaani
Please Antonnia fanya kutuletea picha ya Bantu Lady hapa haraka iwezekanavyo

Happy womb escape day Mrembo Mwenye urembo wake Bantu Lady
Laiti nisingechelewa kukuwish basi jukumu la cake na location ya parry ningejikabidhi bila shuruti.

Lakini sio mbaya naomba Irudiwe Irudiwe โ™ฅ๏ธโค๏ธโ™ฅ๏ธ
 
Muda badoo unaruhusuuuu mkuu zawadiii pia bado zinapokelewa na mwenyewe Bantu Lady mamaa la mamaa the African queeeennn๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ!

Do the needful umtoe leo mkuu pia kekii zipoo kila leooo na shampain kama zoutreeee unamuachaje mtrotro mkareee kikavu hivoo๐Ÿฅ‚๐Ÿพ๐Ÿพ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿพ๐Ÿพ!!
Foto nafanya mafekecheee Usijareee kabesaaa!!
 
Asante sana dear Tayukwa Barikiwa. Usijali, ilienda salama. Nashukuru itabidi tupange na Tonnia pamoja Ankol, Chino bila kumsahau Mmasai mzee wa Ini ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… irudiwe.
 
Wapiiii Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!!

Kabesaaaaa kabesaaa
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!

Kwako mkuu Tayukwa Hili ni boooongeeessaaa la sapuraiziiiii๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Muda badoo unaruhusuuuu mkuu zawadiii pia bado zinapokelewa na mwenyewe Bantu Lady mamaa la mamaa the African queeeennn๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ!

Do the needful umtoe leo mkuu pia kekii zipoo kila leooo na shampain kama zoutreeee unamuachaje mtrotro mkareee kikavu hivoo๐Ÿฅ‚๐Ÿพ๐Ÿพ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿพ๐Ÿพ!!
Foto nafanya mafekecheee Usijareee kabesaaa!!
Namsubiria Bantu Lady aje kuniambia kama ameanza kutumia shampain badala ya pipi kijiti kama watoto wenzake au big boom
 
Pipi kijiti kama pipi kijiti ausio ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!!
Usijareee kabesaaa Anakujaaaa !!
Bantu Lady unaulizwaa hukuuu๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ˜
 
Asante sana dear Tayukwa Barikiwa. Usijali, ilienda salama. Nashukuru itabidi tupange na Tonnia pamoja Ankol, Chino bila kumsahau Mmasai mzee wa Ini ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… irudiwe.
Wow! Fantastic
Hongera kwa siku yako ya pekee nakuombea uwe na baraka tele.
My promise is....
Kama kweli hii siku itarudiwa basi nitakuwa na ticket nne(kwa watu wanne) za boat kwenda na kurudi Zanzibar kwa mapumziko ya siku mbili tukiwa huko.
Utaniandalia/utachagua watu wako muhimu wa kujumuika nasi huko.
Hao watu kwangu watakuwa na uzito wa kalamu tu mfukoni mwangu kwa hiyo hawatokuwa mzigo wowote kwangu wakiwa huko... Kuanzia mapumziko yao na kila kitu wakiwa huko itakuwa under my control Kwako Malkia Bantu Lady
Niitie ndugu yako Antonnia
 
Watruuuu Weeeuuuuwweeehh ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ

Santrooo sanaaaaa bossiiiii mambo si ndo hayooo sasa auweeeeee!!
( Navofurahi sasa utadhani namie nimeambiwa nipo kwa list ya wanne ๐Ÿ˜๐Ÿค”๐Ÿ˜Š!)
 
Wow asante sana, tutafanya hivyo haina shida kabisa. Tonnia Zanzibar tunayo hatuna ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Watruuuu Weeeuuuuwweeehh ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ

Santrooo sanaaaaa bossiiiii mambo si ndo hayooo sasa auweeeeee!!
( Navofurahi sasa utadhani namie nimeambiwa nipo kwa list ya wanne ๐Ÿ˜๐Ÿค”๐Ÿ˜Š!)
Bestie unakosaje tena yaani bora nisiende, uende. Hii imepita na ndiyo namba moja kwa list ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
 
Ya watoto wenzako au mdomo wako mdogo utauma? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!! Mie nasubiria mkitoka zenji mnijie na zawadii tyuuuu๐Ÿ’ƒ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom