Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Yes yaani acha kabisa mambo yalikuwa fire. Nilipiga za kutosha na kuenjoy, kutoa aibu πππ nikajiachia. Nasemea yule mgonjwa ni kumuombea tu, anaumwa. Naona weekend uliitumia ipasavyo nawe.Sikupatiii picha uvoyarudiiii ma kichwani ushapigaπΎπΎπΎπ₯π₯π₯ zakutosha!!
Haina noma kipenzi ngoja tuone tutajulishana !!