Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Sikupatiii picha uvoyarudiiii ma kichwani ushapiga🍾🍾🍾πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚ zakutosha!!
Haina noma kipenzi ngoja tuone tutajulishana !!
Yes yaani acha kabisa mambo yalikuwa fire. Nilipiga za kutosha na kuenjoy, kutoa aibu πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ nikajiachia. Nasemea yule mgonjwa ni kumuombea tu, anaumwa. Naona weekend uliitumia ipasavyo nawe.
 
Yes yaani acha kabisa mambo yalikuwa fire. Nilipiga za kutosha na kuenjoy, kutoa aibu πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ nikajiachia. Nasemea yule mgonjwa ni kumuombea tu, anaumwa. Naona weekend uliitumia ipasavyo nawe.
Mgonjwa Mungu amjalie afya njema arikave haraka dear!! Yeah weekend ilikua njema sana kipenzi Sema likizo nayoo sasa ka inakimbizwaa!

Mambo yametaradadiiii nayo inayoyoma Kweli!!
 
Mgonjwa Mungu amjalie afya njema arikave haraka dear!! Yeah weekend ilikua njema sana kipenzi Sema likizo nayoo sasa ka inakimbizwaa!

Mambo yametaradadiiii nayo inayoyoma Kweli!!
Amina πŸ™πŸ™πŸ™
Likizo huwa hivyo pale inanoga na siku hazikamatiki. Ila utakuwa umepumzika na kurudi mpya.
 
Hope atakuwa mwepesi Sana Sasa hivi mnywani.

Natumai kazimaliza zote
πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€£
Na Mbantyu Nawagawa bureee mjueee mnywanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£!!
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀭🀭🀭🀭🀭🀭!

Na Mbantyu Nawagawa bureee mjueee mnywanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£!!
Maaana Kuna mda madesa aya flow vizuri kwa wanafunzi!!

Sasa lazima na mwaka huu tutoe A zakutosha kwenye chemia
 
Back
Top Bottom