Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
moooningiiii shangaziii kipenziii 😊😊😊 kumekuchaaaa ,😘😘
Hahaha! Embu fanya uchungulie nione macho ayo mnywaniii!!Noumaaa nanusuuuuu hiooo! Imekupendezeshajeeee!!
Anytime ntapita hapo kukupungia walau mkono mnywanii 😊!
Njemaaa mkuu... kumekuchaaa 🔥🔥🔥Za mida bro, ✋👍
Sema shule yangu sikuhizi imekua kilaza Sana peace/amani secondary school.Eendiwoooooooo ndiwooo mnywanii Mabanda kama yoteeeee Igweeeeeeeeeeeeehh!
Usikuuu silaliii shangaaazi nakuooootaaa tuuuu 😅😅😅😅Huku Kumekucha swalamaaa mjomba tunakumisss tyuuu!!!🤩
Kumbe unazimanya Sana mnywani!!Peace/ Amani Zinekua hovyo sana sikuhizi sijui Wanakwama wapi! Hata performance imeshuka sana
Enzi hizo zilikua hot sana!!
😅😅😅 nitaku nong'onezaaaa shangaaazi. ... yaaani hatari 🔥🔥🔥🔥... yaani uishi milele shangazi yangu mzuriWeee sema kweli mjomba!!!! 😊
Leo umeniotrajee mjombake namie!!?? 🤔😊
Yeahhh pesa zote alimalizia huko siasani saivi yupoyupo tu!!Kumbe unazimanya Sana mnywani!!
Nilitoka hapo 2008 form 4.
Enzi hizo tulikua tunakimbiza mkoa mzima mpaka wakawa wanasema tunaiba pepa.
Since amani ajiunge na siasa zilidrop na hazipata rejea Hadi leo
Hahaha mi kitambo Sana sema sikui mnywani!!!Yeahhh pesa zote alimalizia huko siasani saivi yupoyupo tu!!
Wee mnywanii kumbe nawe muhengaaa lol!!
Amiiiinaaaaaanaaaa kubwaaaa mjombaaa!!!!!
Barikiwa sanaaa!!
Sio Sasa hivi ndio umenona mnywani haha!!Weee Una mwili mzuri huzeeki haraka mnywanii!! Mie sasa nishakua kama kizeee hapa😑