ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Asanteni wakuu kwa kunipa pongezi zenu, nazithamini sana wala siwezi kuwalipa kwa chochote zaidi nawaombea muwe na maisha marefu na Bwana awabariki.
Asante.
Happy birthday to dotto
afadhal umerekebsha. Upo lakn mkuu?
Nipo sana mkuu, ni harakati tu za kutangaza nia
Nawashuru wote kwa pongezi zenu wakuu, Mungu awabariki zaidi ya manvyobarikiwa mihadarati Watu8, Some One me, na Mkuu NDANGA
Furaha yako iongezeke mara dufu kama bei ya petroli my dear! Enjoy u'r day
Keki wapi sasa?
Thanx 3 friend, njoo PM mkuu hahaha.
Nauli ya kuja huko PM ndio sina. Fanya kuni M pesa basi