ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Hello Wapendwa,
Ni siku ya furaha, ni siku ya kukumbuka kwa mpendwa wetu, rafiki yetu na kipenzi chetu, mtu wa muhimu kwetu, Dotto Mnzava kwa kuzaliwa kwake. Nasi kwa pamoja tumtakie afya na maisha marefu afikie miaka 100 ya kuishi akimtukuza Mungu.
Happy birthday Dotto Mnzava
=======

Asanteni wakuu kwa kunipa pongezi zenu, nazithamini sana wala siwezi kuwalipa kwa chochote zaidi nawaombea muwe na maisha marefu na Bwana awabariki.
Asante.
![]()