Happy birthday binamu Kabanga!

Happy birthday binamu Kabanga!

Mzee zamu yangu sasa....
Wee Muhenga sikuwahi kuiona ID yako humu, ila baada ya Msomali kupandisha uzi ndio nikajua kina muhenga anayeitwa kabanga humu...

Ngoja nikupishe kwa leo, nafukuzia kwingine maana mafisi hatuishiwi alternatives[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha hahaha wahengaaa wana visu vikaliiii atiiiii pishaaa mbali wewe fisii
Wee Muhenga sikuwahi kuiona ID yako humu, ila baada ya Msomali kupandisha uzi ndio nikajua kina muhenga anayeitwa kabanga humu...

Ngoja nikupishe kwa leo, nafukuzia kwingine maana mafisi hatuishiwi alternatives[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mzee mimi sio wa leo....
Hawa wakina Demiss wanakuja wenyewe....

Back
Top Bottom