Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutag kesho bhn kwan unataka saiv?
Toka nijiunge Jf sijawahi kuona threads za malovee jukwaa la dini hii kwangu mpya
Sasa basi ni dalili za mwisho wa dunia
Oooh kumbe ila siyo kwa uzi ule
Wee Muhenga sikuwahi kuiona ID yako humu, ila baada ya Msomali kupandisha uzi ndio nikajua kina muhenga anayeitwa kabanga humu...Mzee zamu yangu sasa....
Wee Muhenga sikuwahi kuiona ID yako humu, ila baada ya Msomali kupandisha uzi ndio nikajua kina muhenga anayeitwa kabanga humu...
Ngoja nikupishe kwa leo, nafukuzia kwingine maana mafisi hatuishiwi alternatives[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nitese tu[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha hahaha wahengaaa wana visu vikaliiii atiiiii pishaaa mbali wewe fisii
Kweli mkuu, mbuzi huwa wanakuta machinjio yapo tayari
Sio yeye, huyu ni mwingineYeye hiyo nahis